Kampuni ya Netflix mwishoni mwa wiki iliyopita ilipandisha bei ya baadhi ya vifurushi vyake kwa watumiaji wa Marekani. Mabadiliko hayo ambayo wenyewe wanasema hayaji...
NASA imefanikiwa kukipata chombo chake ambacho kilipotea miaka miwili iliyopita kikiwa katika shughuri za kitafiiti, Wakala huu wa usafiri wa anga nchini Marekani wanasema...
Watumiaji wa simu za Pixel 2 XL ambao wamesasisha zimu zao kwenda Android Oreo wameripoti simu zao zinachelewa kufunguka pindi wanapotumia alama za vidole...
Tarehe 26 na 27 mwezi Oktoba itabaki katika historia ya Tehama hapa Tanzania kama ndiyo siku wataalamu wa Tehama walianza kukutana na kujadili changamoto...
Baada ya wachambuzi kufungua Galaxy S8, simu mpya kutoka Samsung wamegundua kwamba kampuni hiyo imewaonya watumiaji wake juu ya madhara yatakayotokea iwapo betri ya...