Tuangazie Ushirika Wa NALA Na Selcom! #Tanzania
Pengine utakua umeshawahi kuisikia kampuni ya teknolojia ya huduma za kifedha kwa njia ya mtandao (fintech) inayojulikana kama NALA.
Pengine utakua umeshawahi kuisikia kampuni ya teknolojia ya huduma za kifedha kwa njia ya mtandao (fintech) inayojulikana kama NALA.
Huawei ni kampuni kubwa sana duniani inayojihusisha na maswala ya teknolojia, kwa sasa wamekuja na mashindano ya TEHAMA.
Zoezi la uandikishaji wa anwani za makazi linaendelea nchi nzima kwa lengo la kufanya maeneo yetu yaweze kutambulika kirahisi na hata kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali.
Shirika mama la mawasiliano na la kwanza nchini Tanzania kwa kifupi likifahamika kama TTCL limekuwa kwenye ulingo wa kupeleka huduma za simu na vitu vingine kwa zaidi ya miaka 50 na hadi leo bado lipo likiendelea kuwafikia wananchi.
Mdundo, huduma ya utiririshaji muziki inayolenga Afrika, inaweka benki kwenye ushirikiano zaidi na telcos katika bara zima ili kukuza mapato yake na msingi wa watumiaji. Mwaka jana, kampuni hiyo ilitia saini mikataba na MTN na Airtel nchini Nigeria, na Vodacom nchini Tanzania, ambayo inaonekana kuwa na faida baada ya watumiaji wake karibu kuongezeka maradufu kwani…
Chanzo kikuu cha mapato kwenye nchi yoyote ni kodi na kama hazikusanywi basi nchi hiyo itakuwa ndio mwanzo wa kuwa masikini. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imedhamiria kutanua wigo wa ukusanyaji kodi kwa kuwafikia wanaofanya biashara mtandaoni.
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano ni chombo kilichoundwa kisheria chini ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Na. 12 ya mwaka 2003 kwa madhumuni ya kulinda na kutetea maslahi na haki za mtumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano Tanzania katika nyanja za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano,…
Vodacom Business ni huduma mbalimbali zinazotolewa na mtandao wa simu wa Vodacom zinazowawezesha wafanyabiashara wadogo kufanya kazi zao kwa uwezo mkubwa zaidi. Kwa kutumia ubunifu wa hivi punde Vodacom Business inakuwezesha kutumia nguvu ya teknolojia kukuza biashara yako.
Unaifahamu App ya Tiketi Mtandao? Kama hauifahamu ondoa shaka maana Teknokona leo tumekuandalia maelezo yote ya muhimu kuhusu App hii. Tiketi Mtandao ni App ya kwenye simu janja inayotumika kukatia tiketi za mabasi ya masafa marefu, yaani mabasi ya kwenda mikoani. Kwa kutumia app hii utaweza kukata tiketi ya basi lolote kwenda mkoa wowote nchini…
Tanzania ni moja ya nchi nyingi tuu duniani ambazo wananchi wake wanatumia sarafu za kidijitali kufanya miamala mbalimbali kwa uhuru kabisa bila ya kuwepo maswali mengi lakini si kwamba mfumo huo umerasimishwa, la hasha!
Serikali ya Tanzania kupitia mashirika mbalimbali ya kimaendeleo inajihusisha na ufuatiliaji, usimamiaji pamoja na uendeshaji wa shughuli za TEHAMA. Mashirika mengi ya serikali yanayohusika na TEHAMA yapo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na mengine yapo chini ya wizara zingine.
Kutokana na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano serikali ya Tanzania imefanikiwa kutoa baadhi ya huduma zake kupitia mtandao. Huduma hizi za serikali zinazopatikana mtandaoni zimesaidia kuongeza ufanisi wa serikali kutoa huduma zake kwa wananchi. Mamlaka ya serikali mtandao (eGA) inahusika moja kwa moja na utengenezaji wa mifumo hii ikishirikiana na mashirika mengine ya serikali.
Tovuti ni mkusanyiko wa kurasa zinazoelezea kuhusu kampuni, shirika au kutoa taarifa mbalimbali katika jamii. Kuna aina nyingi za tovuti ambazo unaweza ukasajili kwa ajili ya biashara au kampuni yako kama vile .com, .net, .tech, .tz na nyingine nyingi.
Suala la tozo kwenye miamala ya simu imekuwa ni mwiba kwa Watanzania kiasi kuibuka malalamiko mengi ambayo yamesababisha biashara kuyumba vilivyo lakini sasa serikali imesikia na kupunguza tozo.
Watazania wengi tuu wameshatapeliwa mtandaoni na kusababisha fedheha kiasi kiasi cha kupeleka malalamiko yao polisi au kwenye mamlaka nyinginezo. Mwarobaini wa suala hilo umepatiwa njia rahisi ya kukabiliana nao kutoka TCRA.
Huduma ya kuweka namna za siri kwenye kadi zetu za simu limekuwepo kwa miongo mingi tuu halikadhalika wengi tuu waliachana na matumizi kadi fulani ya simu kutokana na kupoteza namba za PUK!
Tangu Julai Mosi ya mwaka huu nchini Tanzania matumizi ya nenosiri kwenye kadi mpya za simu yameanza kutumika katika namna moja ya kuweka usalama.
Ushirikiano kati ya Vodacom Tanzania na Mdundo.com umekuwa ukipikwa kwa muda sasa na hatimae wawili hao wamefikia makubaliano ya kufanya kazi pamoja.
Nchini Tanzania suala la usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole si jambo la hiari bali ni lazima.
Nchi nyingi tuu duniani zimeshafikia kwenye kasi ya 5G ambayo inaeleza kuwa bora na ambayo itafanya matumizi ya intaneti kwenda kwa jinsi ukuaji wa teknolojia unavyokwenda.