Netflix Yasuasua, Disney Plus Zaongeza Zaidi Ya Wateja (Subscriber) Milioni 8!
Disney Plus inaendelea kujiongezea wafuasi au kwa namna nyingine naweza kusema wateka katika huduma zake katika ulimwengu wa Ku’stream.
Teknolojia na habari za mitandao mbalimbali
Disney Plus inaendelea kujiongezea wafuasi au kwa namna nyingine naweza kusema wateka katika huduma zake katika ulimwengu wa Ku’stream.
Google ni mtandao mkubwa sana na hivi karibuni katika huduma yake ya kutafsiri lugha ijulikano kama Google Translate kuna maboresho yamefanyika.
Tumeshawahi kundika mengi sana kuhusiana na mtandao wa Spotify, pitia kidogo hapa. lakini hivi unajua kuhusu Spotify Stations?
Youtube Go inaagwa rasmi, maana mpaka kufikia mwezi wa nane mwaka huu (2022) kampuni itakua ishaachana na huduma hiyo.
Vodacom Business ni huduma mbalimbali zinazotolewa na mtandao wa simu wa Vodacom zinazowawezesha wafanyabiashara wadogo kufanya kazi zao kwa uwezo mkubwa zaidi. Kwa kutumia ubunifu wa hivi punde Vodacom Business inakuwezesha kutumia nguvu ya teknolojia kukuza biashara yako.
Uwepo wa biashara nyingi mtandaoni umepelekea kutengenezwa kwa njia mbalimbali za kufanya malipo mtandaoni. Njia hizi za malipo mtandaoni hutolewa na kampuni mbalimbali na mtumiaji anatakiwa kuwa na akaunti kwanza ili aweze kutumia huduma hizo.
Kabla ya kufahamu kuhusu jinsi ya kujilinda dhidi ya wadukuzi mtandaoni ni vyema tungejua kwanza kuwa mdukuzi ni nani ?. Mdukuzi ni mtu anayetumia ujuzi wake wa tehama na mtandao kuiba taarifa za mtu binafsi au kuingia kwenye mfumo bila ruhusa.
Mtandao ni muunganiko na muingiliano wa mawasiliano baina ya kompyuta mbalimbali duniani zinazo badilishana taarifa. Katika chanzo cha mtandao ruta zinazotumika huwa ni nyingi na zenye uwezo mkubwa wa kusambaza taarifa kwa haraka.
Uwepo wa majukwaa ya kujifunzia mtandaoni umetengeneza urahisi kwa watu kupata ujuzi mbalimbali, kujifunza na kupata cheti mtandaoni. Unapoperuzi mtandaoni unapata nafasi ya kujifunza mengi na kujiongezea ujuzi utakaokusaidia katika biashara au taaluma yako.
Kwa sasa kataka tasnia ya filamu na michezo ya kuigiza, Netflix ndio imebeba bango kwa maana ya kwamba ndio iko kidedea ukilinganisha na mitandao mingine.
Skype kuna kipindi ilikua haishikiki kabisa, ni wazi kuwa ndio alikua ndio mbabe katika huduma ya simu za video (simu zile za kuonana) …
Movie nyingi siku hizi zinaonyeshwa kupitia huduma za ku’stream na ni wazi movie nyingi zinaenda katika mitandao mikubwa kama vile HBO Max n.k
Cable News Network (CNN) imesema mpaka kufikia mwaka 2022 itakua imeshaanzisha huduma mpya ambayo itajulikana kama CNN Plus nahuduma hii itakua ni ya ku’stream
Kwa watumaiaji wa mtandao wa WhatsApp kuna njia mbalimbali ambazo ziko kama viashiria kwamba mtu ameku’block katika mtandao wa huo.
Makampuni mengi ni matajari sana duniani, hapa hatuangalii utajiri bali tunaangalia thamani ya kampuni hiyo maana utajari unaangaliwa kwa njia nyingi sana, kama vile mapato, idadi ya wafanya kazi n.k
Ni wazi kuwa kama uliingia katika mtandao wa TikTok kwa mara ya kwanza pengine inaweza ikawa ulijutia uchaguzi wa jina la kutumia. Au pengine unahitaji kubadilisha tuu, leo TeknoKona inakuletea hatua za kubadili jina
Ni kitu ambacho labda tunakiona kila siku, je maana yake dhahiri tunaifahamu? Wengi ‘End-to-end Encryption’ kwa kiasi kikubwa ipo katika mitandao mingi ya kijamii ambayo inajikita katika kutuma na kupokea jumbe za mawasiliano.
Je unafahamu kwa nini Facebook inatumia rangi ya bluu kwenye ubunifu wa app na tovuti yake?
Virtual Assistant au mara nyingine intelligent personal assistant huwa ni programu au app ambazo zinatengenezwa na kupewa nguvu ya kufanya kazi mbalimbali endapo zikiamuriwa na watumiaji wa programu hizo kwa kutumia sauti.
Ndugu na Marafiki sasa kupost kwenye akaunti za Marehemu Facebook kwa urahisi zaidi. Facebook kwa muda sasa wameweza kuziwekea vitu akaunti za watu waliofariki ili wengine kuweza kutambua kwa urahisi. Vitu hivyo ni pamoja na neno “REMEMBERING” ambalo linatambulisha kama mmiliki wa akaunti amefariki dunia.