Jinsi Ya Kuwezesha Huduma Ya ‘Picture In Picture’ Kutoka Youtube Ndani Ya iPhone!
Huduma ya ‘picture in picture’ ni ile ambayo inakuwezesha kuweza kuangalia video huku unafanya vitu vingine katika kifaa chako.
Huduma ya ‘picture in picture’ ni ile ambayo inakuwezesha kuweza kuangalia video huku unafanya vitu vingine katika kifaa chako.
Ngoja kwanza sio kila anaetumia akaunti ya kawaida tuu ya kwa sasa nazungumzia watumaiji wa huduma ya youtube ile ya kulipia yaani Youtube Premium.