Xbox kuja na app mbali mbali kama Netflix, Apple Tv, YouTube
Umekaa unawaza kununua TV janja pamoja na kifaa cha michezo cha Xbox ili kupata burudani zaidi kwa wakati mmoja ila unahisi gharama inazidi kua kubwa? Basi usiwe na shaka maana Microsoft wamesema toleo jipya la Xbox kuja na apps mbalimbali kama vile Netflix na YouTube.