Ni mwisho wa mwaka na makampuni mengi huwa yanatoa takwimu za mwaka mzima, Apple nao wameweka orodha ya washindi katika Nyanja mbalimbali.
Apple ni moja kati ya kampuni kubwa sana ambalo linajihusisha na maswala mazima ya kiteknolojia na orodha nzima ni hii hapa chini.
Zifuatazo ni App/Gemu 14 ambazo zimeibuka kdedea kati ya zile milioni 1.8 ambazo zinapatikana katika soko la App Store.
App Ya Mwaka 2023: Washindi
- iPhone App Ya Mwaka: AllTrails
- iPad App Ya Mwaka:Prêt-à-Makeup
- Mac App Ya Mwaka: Photomator
- Apple TV App Ya Mwaka: MUBI
- Apple Watch App Ya Mwaka:SmartGym
Gemu Ya Mwaka: Washindi
- iPhone Gemu Ya Mwaka: Honkai: Star Rail
- iPad Gemu Ya Mwaka: Lost in Play
- Mac Gemu Ya Mwaka: Lies of P
- Apple Arcade Gemu Ya Mwaka: Hello Kitty Island Adventure
Walioleta Mabadiliko (Cultural Impact): Washindi
Ningependa kusikia kutoka kwako, niandikie hapo chini katika uwanja wa comment je hii umeipokeaje? Ulihisi App hizi zitakua vinara?
Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Wa TeknoKona Kila Siku, Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.
Nifuate Kwenye Mitandao Yangu Ya Kijamii
Instagram | Facebook | Twitter | LinkedIn
No Comment! Be the first one.