Kuhusu Sisi Wapenda Teknolojia
Kona ya Teknolojia ni blog yenye umri mrefu zaidi katika historia ya blog za teknolojia kwa lugha ya kiswahili nchini Tanzania na Afrika Mashariki.
Tunahakikisha unapata habari mpya za masuala ya kiteknolojia pamoja na kukuelimisha kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu utumiaji wa vifaa vya kiteknolojia.
- Septemba, 2011 – Uanzishwaji wa blogu
- 2015 – Uanzishwaji wa kampuni mama, Teknokona Group – www.teknokonagroup.com
- 2023 – Uanzishwaji wa huduma ya msaada wa kiteknolojia kwa watu binafsi na makampuni – www.techmsaada.com
Kwa maoni na mawasiliano mengine usisite kutuandikia mhariri(at)teknokona.co.tz
Habari Mpya
Fahamu habari mpya
Pata taarifa kuhusu makala mpya na mengineyo