iPhone 11 ndio simu iliyouzika zaidi mwaka 2020
Mwaka 2020 ulikuwa wenye changamoto nyingi tuu za kiuchumi duniani kote lakini hata hivyo mambo yaliendelea na bado yanaendelea kusonga na kwa mujibu wa takwimuu zilizotoka Apple ndio kinara wa mauzo kwenye robo ya mwisho ya mwaka uliopita.