Hii ndio nje ndani Samsung Galaxy A12
Mwaka huu ukitaka kununua simu janja kutoka Samsung basi inaweza ikawa si jambo rahisi kusema kuchagua mara moja kwani zimetoka simu mbalimbali katika kipindi kifupi sana ikiwemo Samsung Galaxy A12.
Katika ushindani wa kibiashara moja ya kampuni ambazo bidhaa zake zinapendwa Huawei Technologies Co. LTD ni miongoni mwao na wana simu janja nyingi, nzuri tuu...
Tuliandika kuhusu ujio wa simu za Samsung Galaxy S21, S21 Plus na S21 Ultra siku chache nyuma, sasa hizi ndio bei zake rasmi kupitia mtandao...
Xiaomi ni kampuni ya kiteknolojia yenye makao makuu yake nchini Uchina. Inajihusisha na vitu vingi kama Simu za mkononi, vifaa vya nyumbani kama runinga, huduma...
Simu ya Samsung Galaxy A21s ni mojawapo ya matoleo ya chini ya kampuni ya Samsung. (more…)
Kampuni ya Tecno inasifika kwa kutoa simu zenye thamani nzuri kwa pesa ya mnunuaji, zikiwa na faida kubwa kama kukaa na chaji kwa muda mrefu...
Simu ya Samsung Galaxy M02s imeanza kupatikana rasmi nchini India na inategemewa kuanza kupatikana katika mataifa mengine kote. (more…)
Kwa kufungua mwaka 2021 Samsung waleta simu mpya za kuvutia zinazobeba majina ya Sumsang Galaxy S21, S21 Plus na S21 Ultra. (more…)
Whatsapp Plus ni programu isiyo rasmi ambayo inaruhusu watumiaji kuungana na kila mmoja kwa njia za hali ya juu zaidi. (more…)
Tecno Spark 5 ni mojawapo kati ya simu toka kampuni ya Tecno ambayo ina thamani nzuri kwa gharama yake ya manunuzi. (more…)
Kampuni ya Nokia yenye makao makuu yake nchini Finland kwa wakati huu inatoa simu ambazo zinatumia mfumo endeshi wa Android. Hii ni baada ya kampuni...
Mwaka huu ukitaka kununua simu janja kutoka Samsung basi inaweza ikawa si jambo rahisi kusema kuchagua mara moja kwani zimetoka simu mbalimbali katika kipindi kifupi sana ikiwemo Samsung Galaxy A12.
Kwa mwaka 2021 Huawei kutengeneza nusu ya idadi ya simu ukilinganisha na idadi ya simu walizotengeneza kwa mwaka 2020. Hii imechangiwa na vikwazo vya Marekani.
Katika ushindani wa kibiashara moja ya kampuni ambazo bidhaa zake zinapendwa Huawei Technologies Co. LTD ni miongoni mwao na wana simu janja nyingi, nzuri tuu sokoni.
Samsung ambao wameporomoka kutoka kwenye nafasi ya kwanza kwenye mauzo ya simu janja kwa mwaka 2020 wanaonekana kutoa rununu zenye mashiko kukimbizana na soko la ushindani wa kibiashara.
Mwaka 2020 ulikuwa wenye changamoto nyingi tuu za kiuchumi duniani kote lakini hata hivyo mambo yaliendelea na bado yanaendelea kusonga na kwa mujibu wa takwimuu zilizotoka Apple ndio kinara wa mauzo kwenye robo ya mwisho ya mwaka uliopita.
Teknolojia inayohusisha simu za kujikunja inaonekana kurudi kwa kasi shuhuda zikionekana kwa makampuni makubwa kama Samsung, Motorola, Oppo, Xiaomi, Google, n.k wakirudisha bidhaa za aina hiyo kwenye macho ya watu baada ya kupotea kwa karibu miongo miwili.