Companion Mode: Uwezo Wa Kutumia WhatsApp Kwenye Simu Mbili Mbioni!
Hivi si ushawahi kufikiria kutumia namba yako moja ya WhatsApp katika simu mbili? Ukaichana na wewe kumbe hata kampuni ya WhatsApp imeliwaza pia jambo hili
Hivi si ushawahi kufikiria kutumia namba yako moja ya WhatsApp katika simu mbili? Ukaichana na wewe kumbe hata kampuni ya WhatsApp imeliwaza pia jambo hili
Kama tunavyojua kila baada ya muda wataalamu wa mtandao wa kijamii wa WhatsApp huleta masasisho (Updates) mbalimbali mapya kwa ajili ya kuboresha huduma zao.
WhatsApp Desktop imekuwa mkombozi wa watu wengi ambao kutokana na sababu mbalimbali inakuwa rahisi kwetu kujibu jumbe kwa kupitia kwenye kompyuta hivyo kuifanya simu janja kwenda likizo ya muda 😀 😀 .
WhatsApp sasa hukuruhusu kuficha chats kabisa kwa kuziweka kwenye kumbukumbu, hata kama ujumbe mpya utaingia kwenye mazungumzo hayo. Kipengele hiki kutoka kwa kampuni ya utumaji ujumbe inayomilikiwa na Meta ni njia nzuri ya kuzima mazungumzo yasiyotakiwa, na kuyazuia yasionekane katika orodha yako kuu ya chats. Folda ya Kumbukumbu kimsingi inaruhusu watumiaji kupuuza kikundi au mtu…
Imekuwa ni rahisi watu kutumiana picha ndani ya kitufe cha kamera kwa njia ya WhatsApp na hii inatokana na jinsi ambavyo programu tumishi imetengenzwa. Kwa wanaotumia iOS mambo yalibadilishwa kidogo lakini sasa vitu vimerejea kama ilivyokuwa hapo awali.
Mfumo wa kutumia jumbe za sauti kueleza kitu fulani na ta kuwasambazia wengine kwenye WhatsApp na kwingineko imekuwa ni kitu cha kawaida sana na watu wengu wanatumia duniani kote.
Unaweza kusema WhatsApp ndio programu tumishi ambayo inafanyiwa maboresho mengi kuzidi nyingine nyingi tuu ambazo tunazifahamu/kuzisikia. Mpangilio wa namba za watu waliopo kwenye WhatsApp kwa sasa umekaaje?
WhatsApp Business imekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi hasa wale wanaopenda kutenganisha mawasiliano ya kawaida na yale yanayohusiana na biashara bila kusahau maboresho ambayo yamekuwa yakifanyika huko.
WhatsApp ina watumiaji wengi zaidi duniani zaidi ya programu tumishi yoyote kwa sasa na mara kwa mara imekuwa ikifanyiwa marekebisho kuifanya kuwa nzuri maradufu. Huko mbele tusije kushangaa kuwa na uwezo wa kutengeneza kijiji ndani ya WhatsApp.
WhatsApp ni moja ya programu tumishi ambayo imekuwa ikifanyiwa maboresho mara nyingi tuu ndani ya kipindi kifupi na hii inatokana na ile shughuli ya kufanya watumiaji wake wanaifurahi zaidi lakini tukumbuke mambo yote huanzia kwenye Beta kabla ya kusogezwa kwa wengine.
Katika miezi ya karibuni WhatsApp ya kompyuta imekuwa ikiboreshwa na kuweza kufanana kwa karibu kabisa ina ile ya kwenye simu zetu kitu ambacho kwa wale ambao tunaitumia hakika tunaifurahia.
Moja ya njia rahisi siku hizi kutumia WhatsApp kiraisi hasa kwa sisi ambao kazi zetu zinategemea matumizi ya kompyuta ndio shughuli ikamilike ni WhatsApp Desktop (web) ambayo kimsingi imekuwa ikiboreshwa na kufanya ifanane karibu kabisa kama ile ya kwenye iOS/Android.
Google Drive ni kiungo muhimu ambacho kinawezesha kuhifadhi vitu vyetu (vikiwemo vile kutoka kwenye WhatsApp) mbalimbali kwa njia ya mtandao na kuweza kuvikia muda wowote na mahali popote pale.
Katika siku za karibuni WhatsApp imekuwa ikifanyiwa maboresho mbalimbali kitu ambacho inaifanya kuzidi kuvutia halikadhalika kurahisisha utumiaji wake kwenye simu janja na kompyuta.
Mara kwa mara WhatsApp imekuwa ikifanyiwa maboresho ambayo yanatokea kuvutia watumiaji wake kutokana na ukuaji wa teknolojia. Kwa baadhi ya watumiaji wa simu janja wanaweza kuhamisha vitu vyao kwenye WhatsApp kutoka kwenye iOS kwenda Android.
Watumiaji wa WhatsApp wengi tunafahamu kuwa hivi sasa tunaweza kuonyesha hisia zetu kwenye jumbe ambazo tunazipokea iwe kutoka kwa mtu mmoja mmoja au kikundi.
WhatsApp ni mtandao wa kijamii ambao unawezesha watu kuwasiliana kwa ujumbe mfupi, ujumbe wa sauti, kupiga simu pamoja na simu ya video. WhasApp ina watumiaji takribani Bilioni 2 walio hewani kwa mwezi. Ukiwa mjanja unaweza kutumia Whatsapp kukuza biashara yako.
Matumizi ya WhatsApp yamekuwa yakishamiri mwaka hadi mwaka na hata watumiaji pia kuzidi kuongezeka siku hadi siku. Vilevile, uwepo wa kipengele cha kutuma jumbe za sauti kwenye WhatsApp imerahisisha mawasiliano ya watu na watu au ndani ya kikundi.
Taarifa kuhusu WhatsApp kuboreshwa na kumwezesha mtumiaji kuonyesha hisia zake kwenye jumbe zimekuwa zikielezwa mara kadhaa na sasa kipengele hicho polepole kinaonekana kuletwa kwa walengwa.