Unaona Simu nyingi zimeanza kufanana sana? Makampuni mengi wanatengeneza kwa makandarasi
Je umeshaanza kugundua ya kwamba kuna simu nyingi siku hizi ata zinazotoka makampuni tofauti ya simu zinafanana muonekano? Je sababu ni nini?
Je umeshaanza kugundua ya kwamba kuna simu nyingi siku hizi ata zinazotoka makampuni tofauti ya simu zinafanana muonekano? Je sababu ni nini?
Ni mara ngapi umelisikia hili neno, Fast Charge/Quick Charge? .. natumai ni mara nyingi tuu..lakini je wengi wetu tunajua maana yake?
Ndio namaanisha Kope kabisa zile zinazokaa juu ya macho. Wengi najua watkua wameshtuka ila kumbuka wazungu wanatushtua kila siku kwa vitu ambavyo wanavizalisha ukizingatia na ukubwa wa Teknolojia ambao wanao.
Kama kawaida yao Apple ni kampuni ambalo lipo mstari wa mbele katika kubuni vitu mbali mbali ambavyo kwa namna moja au nyingine vitamfanya mteja wao anaendelee kubaki kwao.
Google kupitia blog yao watambulisha huduma mpya kupitia mtandao inayoitwa AutoDraw. AutoDraw ni huduma inayotumia teknolojia inayokuja kwa kasi ya utashi wa kompyuta (AI – Artificial Intelligence) kumsaidia mtumiaji kuchora kwa ufanisi zaidi.
Hivi unakumbuka kale kahali unakujisikia punde tuu ukijua kama ‘Wallet’ yako imeibwa au umeisahau mahali? Mimi ninakakumbuka aisee
Foleni, foleni, foleni! Mara zingine zinakera sana na pengine mtu anaweza akaghairi kitu ambacho alitaka kukifanya kisa urefu wa foleni (kamba).
Kama hujui kuhusina na hili basi ondoa shaka. Ni historia fulani ambayo tuu inaelezea kila kitu juu ya jina hilo.
Wiki ya ubunifu (Innovation Week) chini ya udhamini wa HDIF inaendelea jijini Dar es Salaam. Na leo nitakueleza kuhusu teknolojia iliyonivutia. Leo fahamu kuhusu Tungulizibomba! 🙂
Wiki ya ubunifu (Innovation) chini ya ufadhili wa shirika la HDIF (HUMAN DEVELOPMENT INNOVATION FUND) imeanza rasmi jijini Dar es Salaam. Itahusisha shughuli mbalimbali hii ikiwa ni pamoja na utambulishwaji wa miradi iliyojishindia ufadhili kutoka shirika hilo lisilo la kiserikali.