Je kuna mambo yeyote muhimu ya kufahamu katika ununuaji wa laptop? Lilikuwa swali kutoka kwa rafiki yangu mmoja anayefikiria kununua laptop mpya hivi karibuni.
Kuboresha ufanisi wa kompyuta au laptop yako ufanye nini? Hili ni swali tulilopokea kutoka kwa mmoja wa wasomaji wetu. Kuna mambo mengi yanayoweza yakawa...
Acer watambulisha laptop 2 mpya zenye sifa za kipekee. Acer Swift 7 ni laptop nyembamba zaidi, wembamba wake hauzidi sentiminta moja (inchi 0.39), na...
Kampuni inayokua kwa kasi sana, Xiaomi, ya nchini China imekuja na laptop za kisasa zinazoonekana kuja moja kwa moja kushindana kimauzo na laptop za...
Ngoja kwanza, hivi umeshawahi kufikiria kusafisha Keyboard ya kompyuta yako? Kumbuka unatumia muda mwingi sana kuobofya na saa nyingine hata hujali kama mikono yako...
Moja kati ya maendeleo yaliyofanyika katika kipindi cha miaka iliyopita ni jinsi ambavyo teknolojia inavyo weka urahisi wa watu kujichanganya na dunia nzima kwa...