Chrome kupunguza utumiaji wa RAM kwa Windows 10, Android na vifaa vingine
Google wamesema kivinjari chao cha Chrome kupunguza utumiaji wa RAM kwa kiasi kikubwa katika toleo jipya la kivinjari hicho. Google wamesema kuna maboresho kadhaa waliyofanya kwenye teknolojia inayoendesha kivinjari hichi maarufu.