apps, Google, Picha
Google Photos kuacha kuhifadhi picha na video bila ukomo kwa watuamiaji
Google Photos kuacha kuhifadhi bila kikomo. Google Photos ni app maarufu inayomilikiwa na Google na ikitoa huduma ya uhifadhi wa picha na video za...
Android, apps, Google, Maujanja
Google: Sasa unaweza kufahamu jina la Wimbo kupitia app ya Google
Iwe kwa wewe kuimba au kwa kusikia kutoka eneo la karibu sasa unaweza kufahamu jina la wimbo kupitia app ya Google.
ALPHABET, Google, Teknolojia
Kutoka Googol kwenda Google: Fahamu Historia ya jina la Google!
Je, wajua kuna muda ambao kosa moja linaweza likajenga kitu cha kitofauti zaidi? Hivyo ndivyo historia ya jina la Google, huduma ya utafutaji maarufu...
Android, apps, Gmail Go
Gmail Go kwa ajili ya simu yenye memori ndogo
Ukiwa unatumia simu janja basi barua pepe ni ufunguo wa kuwa na uwezo wa kupakua programu tumishi mbalimbali kutoka sokoni. Kwenye Android ni lazima...
Android, apps, Chrome, Intaneti
Ulinzi waboreshwa kwenye Chrome ya simu
Moja ya kivinjari ambacho watumiaji wengi wa simu janja wanakitumia ni Google Chrome na ni wazi kuwa kutokana na ukuaji wa teknolojia uhalifu wa...
Android, apps, Google, Teknolojia
Kutumia kalenda za Google kutunza kumbukumbu
Waswahili husema “Mali bila daftari huisha bila habari“. Msemo huu unatukumbusha kuwa ili mambo yaweze kwenda sawia basi hatuna budi kutunza kumbukumbu na kuwepo...
Android, apps, Google Photos, Teknolojia
Unafahamu kuwa Google Photos imeboreshwa?
Ukuaji wa teknolojia ambao unaenda sambamba na utandawazi leo hii si ajabu kuona watu wamepunguza sana kuweka kumbukumbu za picha katika mtindo ambao unaweza...
Google, Google Drive, Teknolojia
Google Drive: Mafaili kwenye kapu la uchafu kufutwa baada ya siku 30
Ikiwa huna mazoea ya kufuatilia kopo la uchafu kwenye Google Drive basi hakikisha unafanya kama tabia kufuatilia kuanzia sasa. Google imetangaza kuwa itafuta faili...
CocoFax, Gmail, Google, Teknolojia
Unafahamu nini kuhusu CocoFax?
Teknolojia imekuwa bora kila leo na bado na haijaishia hapo kwani hadi leo hii kuna mashirika, taasisi matumizi ya kipepeshi ni nyenzo ya kufanikisha...
Barua pepe, Gmail, Google, Maujanja, Teknolojia
Jinsi ya kuweka au kutumia saini kwenye Gmail
Katika njia mojawapo ya kufanya mawasiliano na mtu yeyote na popote duniani ni kwa kutumia na barua pepe. Mbali na hilo matumizi ya simu...
Google, Mtandao wa Kijamii, Teknolojia, TikTok
Inaaminika kuwa TIkTok ilikusanya taarifa za watu bila idhini yao
Moja ya programu tumishi ambayo imetokea kupendwa sehemu nyingi duniani katika kipindi cha muda mfupi ni TikTok na katika siku za karibuni kampuni mama...
Google, Intaneti, Teknolojia
Google kuwezesha mtu kuweka taarifa binafsi mtandaoni
Google ni kampuni ambayo imerahisisha sana watu kuweza kutafuta vitu kwa kutumia teknolojia na pengine isiwe lazima sana kumuuliza mtu kuhusu kitu fulani na...