Pengine Kifaa Kinachotumia Huduma Ya AR/VR Kutoka Apple Kitaachiwa January 2022!
Huduma za Augmented Reality (AR) na Virtual Reality (VR) zinaendelea kupewa kipaumbele sana katika dunia ya sasa na Apple nao bado hawajasalia nyuma.
Habari kuhusu Apple, vifaa vyake, teknolojia na mambo mbalimbali yahusuyo kampuni hiyo
Huduma za Augmented Reality (AR) na Virtual Reality (VR) zinaendelea kupewa kipaumbele sana katika dunia ya sasa na Apple nao bado hawajasalia nyuma.
CAPTCHA ni kitu gani? Hivi wakati unazunguka zunguka huko mtandoani hujawahi kutana na swali linaolouliza Are You A Robot?..
Unakumbuka kuna kipindi Apple na Android walikaa chini na wakatengeneza App ambayo itasaidia kuhamisha vitu kama namba za simu n.k
Ni mara nyingi sana watu kuanzisha jina katika mitandao ya kijamii au majukwaa mengine lakini baadae wakataka badilisha jina hilo.
Maisha yetu yanazidi kuwa rahisi na hii yote inasababishwa na ukauji wa teknolojia, miaka ya nyuma ilikua ni ngumu sana kwa mtu kuweza kukopi maneno ambayo yapo katika picha.
Fikiria uwezo wa kutumia kamera ya iPhone iwe kama webcam kwa watumiaji wa mac, Hili linakuja hivi karibuni.
Kulingana na taarifa ambazo zimetoka kwa watafiti na wachanganuzi kutoka katika kampuni ijulikanayo kama Sensor Tower, ni kwamba kuna ugumu katika App za kawaida kupata nafasi za juu ukilinganisha na App za magemu katika soko la App Store.
Apple inaheshimika sana na sera yake ya ulinzi na usalama hasa katika vifaa na huduma zake. Hii imeifanya kampuni kijichukulia sifa nyingi ukiachana na kuaminika.
Kivinjari cha Safari ni maarufu sana katika vifaa kutoka Apple, kwa sasa kina watumiaji zaidi ya bilioni moja duniani kote.
Unaweza ukawa unajiuliza sana nap engine hata usiihusishe sana kampuni ya Apple na magemu (games) lakini ndio hvyo inategeneza hela nyingi tuu.
Apple wanazidi kuhakikisha kuwa wanatoa vifaa vilivyo bora na vinavyorahisisha maisha ya wateja wao wa kiasi kikubwa sana.
Apple ni moja kati ya kampuni kubwa inayojihusisha na mambo ya teknolojia, mara kwa mara kampuni hiyo imekua ikileta maboresho au ubunifu wa aina yake ili kujihakikishia inabaki kuwa juu.
Ni wazi kuwa katika soko la App la Google Play Store kuna App nyingi sana, katika App hizo kuna zile ambazo zimetelekezwa.
Fununu zinasema mpaka kufikia 2023 kwa iPhone ambazo zinakuja basi zitakua na sehemu ya kuchaji ambayo tundu lake litakua ni lile la Type-C.
Kumbuka iPod ya kwanza kabisa iliingia sokoni mwaka 2001 na ikabadilisha kabisa jinsi watu wanavyosikiliza na mapenzi ya muziki yaliongezeka kwa kiasi kikubwa.
Sasa hivi simu janja za kujikunja ni nyingi mno na kwa sasa teknolojia hii kwa kiasi kikubwa imeanza kuzoeleka.
Fikiria kama utaweza kuwa na uwezo wa kuingia katika mitandao mikubwa (yakijamii) na kutumia vifaa vya kielektroniki kwa ku’Log In’ bila hata ya kutumia neno siri.
Apple kuja kukuruhusu kutengeneza iPhone yako mwenyewe iwapo imeharibika. Uwezo huo umetangazwa na Apple ambapo wamesema wataanza kuuza vipuri mbalimbali kama vile betri, kioo (display) na kamera za iPhone na baadae kuanza kuuza hadi vipuri vya kompyuta za Macbook.
Samsung Galaxy A51 imekuwa simu janja ya kwanza kufanana na iPhone na hii imefanya rununu (Galaxy A51) kuwa na upekee wa aina yake. Je, unajua ni upi huo?
Kuna kitu kinaitwa YouTube TV ambapo wengi wetu tunaweza tusiwe tunakifahamu lakini kimekuwepo kwa miaka kadhaa sasa na kimekuwa kikifanyiwa maboresho ya hapa na pale ili kukifanya kivutie zaidi.