Intaneti, Teknolojia, Zoom Zoom yaongeza ulinzi kwenye elimu mtandao October 12, 2020 Kabla ya janga la virusi vya Corona lililoikumba dunia nzima matumizi ya programu wezeshi-Zoom yalikuwa yanaonekana kuwa muhimu kwa watu walio maofisini, majumbani lakini jambo la msingi ni kwamba haikuwa na watumiaji wengi kama ilivyo hivi sasa. Endelea Kusoma Imeandikwa na Mato Eric 0 CommentsSambaza