Tuangazie Ushirika Wa NALA Na Selcom! #Tanzania
Pengine utakua umeshawahi kuisikia kampuni ya teknolojia ya huduma za kifedha kwa njia ya mtandao (fintech) inayojulikana kama NALA.
Pengine utakua umeshawahi kuisikia kampuni ya teknolojia ya huduma za kifedha kwa njia ya mtandao (fintech) inayojulikana kama NALA.
Pokemon Go ni moja kati ya magemu katika simu ambayo yamejopatia umaarufu mkubwa sana na pia ni moja kati ya gemu ambalo limeiingizia kampuni ya Niantic mapato mengi.
Mtandao wa kijamii wa facebook umekuja na mpangilio mpya katika makundi (Groups) lengo likiwa ni kufanya mazungumzo yawe rahisi Zaidi.
Kwa sasa kuna huduma mpya ya Google inaitwa Google Chat, Google Hangouts itafungwa lakini kabla ya hapo itahamishiwa kwenye huduma ya Google chat.
Kazi mia tatu sio mchezo, hili limefanyika baada ya kampuni kupoteza ‘subscribers’ (wateja) 200,000 ikiwa ni namba kubwa ambayo haikutegemewa.
Pengine unaweza ukawa unajiuliza ‘Closed Caption’ ni nini? Kwa uharaka haraka ni ule uwezo wa kutazama video huku unapata maandishi kwa chini? Kitu ambacho hapo awali Android na iPhone hazikuwa nacho katika App ya Twitter.
Injinia adai mfumo wa roboti umepata hisia na kuweza kujitambua na kujipa sifa ya kuwa sawa na mwanadamu. Roboti huyo anayetengenezwa na Google kupitia teknolojia za AI (Akili bandia – artificial intelligence) ni roboti spesheli kwa ajili ya mazungumzo. Madai hayo yameleta mtafaruki kwa wadau wa masuala ya usalama wa kiroboti.
Mtandao wa kijamii wa Telegram unakuja na huduma ya kulipia na kujiunga na mitandao mingine katika huduma za Premium.
LinkedIn kuboresha mifumo ya matangazo na usimamiaji wa kampeni ili kuzidi kuvutia makampuni kutumia huduma hizo na kuwawezesha wafanyakazi kusimamia kurasa za kibiashara katika njia bora zaidi.
Kama ilivyo mitandao mingi tuu ya kijamii, TikTok nayo ilizoeleka kwa kuwa na maudhui mengi ambayo hayaishi.
Ni wazi kuwa huduma hii imekua inafanyiwa majaribio kwa muda sasa, huu ndio wakati wake wa kuanza kutumika na jamii.
TikTok ni mtandao wa kijamii maarufu sana haswa katika maswala ya video fupi fupi.
Hilo neno NFT kwa dunia ya sasa hivi sio geni sana, pengine inawezekana ushawahi kulisikia au kupishana nalo sana huko mtandaoni.
Twitter yatozwa faini ya $150m nchini Marekani baada ya maafisa wa kutekeleza sheria kuishutumu kwa kutumia kinyume cha sheria data za watumiaji kusaidia kuuza matangazo yaliyowalenga.
Kivinjari cha Safari ni maarufu sana katika vifaa kutoka Apple, kwa sasa kina watumiaji zaidi ya bilioni moja duniani kote.
Apple ni moja kati ya kampuni kubwa inayojihusisha na mambo ya teknolojia, mara kwa mara kampuni hiyo imekua ikileta maboresho au ubunifu wa aina yake ili kujihakikishia inabaki kuwa juu.
Tumeshaandika mengi sana kuhusu mtandoa wa TikTok, unaweza ukayasoma >>HAPA<<. Tukiachana na hayo leo tunakuletea maujanja.
Instagram ni mtandao wa kijamii maarufu sana hasa katika maswala ya picha na video fupi fupi. Kwa baadhi ya watu ndio mtandao wao wa kijamii pendwa.
Google Drive ni njia moja wapo na maarufu sana ya kuhifadhia taarifa (picha, video, nyaraka n.k) katika mtandao.