Sikiliza habari mbalimbali za Teknolojia. Habari mpya kila wiki.Unaweza pia ungana nasi kupitia app za Podcast kama vile Google Podcast, Spotify na Apple Podcast. Teknokona – Kona ya TeknolojiaKona ya Teknolojia – www.teknolojia.co.tz ni tovuti inayokuletea habari na maujanja ya teknolojia kwa lugha ya kiswahili. Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki. @Sehemu ya TechMsaada, www.techmsaada.com Teknokona Group LTD. Kona ya Teknolojia – S01E02 – Mokiwa & Eric, Mada: Twitter sasa ni X, iOS 17, Apple vs UK, Samsung na simu za FoldablebyTeknoKona - Kona ya TeknolojiaKatika episode namba mbili kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu Mabadiliko ya Twitter kuwa X, mipango ya Elon Musk na X.Kizuri katika toleo la iOS 17 linalokuja hivi karibuni kwa watumiaji wa iPhone, iPadApple vs UK – Changamoto ambazo kampuni ya Apple wanazipitia nchini Uingereza zinazohusisha masuala ya kusalama na malipo kwa watengenezaji appsTukio la Samsung na ujio wa toleo jipya la simu za mkunjoUsisahau kuungana nasi kupitia:www.twitter.com/teknokonawww.instagram.com/teknokonawww.facebook.com/teknokonawww.instagram.com/techmsaadawww.teknolojia.co.tz – Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.www.techmsaada.com – Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.Search EpisodesClear Search Kona ya Teknolojia – S01E02 – Mokiwa & Eric, Mada: Twitter sasa ni X, iOS 17, Apple vs UK, Samsung na simu za Foldable July 26, 2023 TeknoKona - Kona ya Teknolojia Kona ya Teknolojia – S01E01 – Mokiwa & Eric, Mada: AI, ChatGPT, Roboti Boston Dynamics, Threads vs Twitter, SmartEFD na Laptop za Framework July 20, 2023 TeknoKona - Kona ya Teknolojia Search Results placeholderPrevious EpisodeShow Episodes ListNext EpisodeShow Podcast Information Please leave this field emptyMambo 👋 Tutafurahi ukijiunga nasi. Jisajili ili uweze kupokea taarifa za habari mpya kila wiki. Tunakutumia taarifa na habari za Kona ya Teknolojia na TechMsaada pekee. Barua Pepe yako * Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.