Google Kufuta Zaidi Ya App Laki 9 Zilizotelekezwa!
Ni wazi kuwa katika soko la App la Google Play Store kuna App nyingi sana, katika App hizo kuna zile ambazo zimetelekezwa.
Ni wazi kuwa katika soko la App la Google Play Store kuna App nyingi sana, katika App hizo kuna zile ambazo zimetelekezwa.
Tumeshawahi kundika mengi sana kuhusiana na mtandao wa Spotify, pitia kidogo hapa. lakini hivi unajua kuhusu Spotify Stations?
Ni wazi kuwa mitandao mingi inatengeneza pesa kupitia matangazo na mara nyingi tumeona kuwa sehemu ya mapato hayo wanayopata hugawana na wazalishaji wa maudhui.
Kama tunavyojua kila baada ya muda wataalamu wa mtandao wa kijamii wa WhatsApp huleta masasisho (Updates) mbalimbali mapya kwa ajili ya kuboresha huduma zao.
Google wapiga marufuku uwepo wa apps za kurekodi mazungumzo ya simu kuwepo kwenye soko lake maarufu la apps la Google Playstore kuanzia Mei mwaka huu.
Elon Musk afanikiwa kuinunua Twitter, jambo ambalo limeendelea kuleta mazungumzo mengi mtandaoni ya kuunga mkono au kupingwa na baadhi ya watumiaji wa mtandao huu maarufu.
Elon Musk ni moja ya watu maarufu zaidi duniani ambao wanamatumizi makubwa ya mtandao wa kijamii wa Twitter.
Twitter ni mtandao wa kijamii unaotumika na watu mbalimbali kubadilishana mawazo kupitia jumbe fupi. Mtandao huu wa kijamii ulianzishwa mwaka 2006, waanzilishi wakiwa ni Jack Dorsey, Biz Stone, Evan Williams na Noah Glass.
Mtandao wa kijamii wa Twitter kama ilivyo mingine mtu anaweza akatumia kupitia kivinjari kwa kutembela tovuti au kifaa chake cha kiganjani ambacho kinaweza kutoka kwenye programu endeshi mbili maarufu.
Kuna kitu kinaitwa YouTube TV ambapo wengi wetu tunaweza tusiwe tunakifahamu lakini kimekuwepo kwa miaka kadhaa sasa na kimekuwa kikifanyiwa maboresho ya hapa na pale ili kukifanya kivutie zaidi.
App Store ya Urusi imepoteza programu 6,982 za simu janja tangu kuanza kwa uvamizi wa Ukraine, kwani kampuni nyingi sasa zimeondoa programu na magemu yao kutoka App Store ya Apple nchini humo, kulingana na data iliyoshirikiwa na TechCrunch na kampuni ya kijasusi ya Sensor Tower.
Samsung ilithibitisha Jumatatu kwamba baadhi ya data zake ziliibiwa kama sehemu ya shambulio la mtandao ambalo liliripotiwa kwa mara ya kwanza mwishoni mwa wiki. Katika taarifa kwa Bloomberg, kampuni kubwa ya vifaa vya elektroniki ya Korea ilifichua kwamba ukiukaji wa usalama ulisababisha “baadhi ya source code (msimbo) zinazohusiana na uendeshaji wa vifaa vya Galaxy”.
Instagram ni maarufu duniani kote na ina zaidi ya miaka 11 tangu iletwe kwa watumiaji lakini programu hiyo tumishi haipo kwenye iPad.
Twitter imekuwa ni miongoni mwa mitandao ya kijamii ambayo inafanyiwa maboresho ya mara kwa mara kutokana na sababu mbalimbali kitu ambacho kinaifanya kuwa ya kitofauti. Je, unafahamu kuhusu uwezo wa kutoa angalizo kuhusu chapisho?
Mtindo wa watu kutengeneza video fupi fupi kwenye mitandao ya kijamii ni maarufu sana siku hizi kiasi kwamba kuna wengine wameshakuwa na uraibu wa kuperuzi kwenye Facebook Reels, TikTok, n.k.
WhatsApp sasa hukuruhusu kuficha chats kabisa kwa kuziweka kwenye kumbukumbu, hata kama ujumbe mpya utaingia kwenye mazungumzo hayo. Kipengele hiki kutoka kwa kampuni ya utumaji ujumbe inayomilikiwa na Meta ni njia nzuri ya kuzima mazungumzo yasiyotakiwa, na kuyazuia yasionekane katika orodha yako kuu ya chats. Folda ya Kumbukumbu kimsingi inaruhusu watumiaji kupuuza kikundi au mtu…
Imekuwa ni rahisi watu kutumiana picha ndani ya kitufe cha kamera kwa njia ya WhatsApp na hii inatokana na jinsi ambavyo programu tumishi imetengenzwa. Kwa wanaotumia iOS mambo yalibadilishwa kidogo lakini sasa vitu vimerejea kama ilivyokuwa hapo awali.
Moja ya sababu ya watu kununua kifurushi cha intaneti ni kuweza kuperuzi mtandaoni halikadhalika kwenye mitandao ya kijamii kwa ujumla wake. Ni wazi kuwa kuna watu wana uraibu wa matumizi ya Instagram lakini ukiwaambia wanaweza wasikubali.
Kama ambavyo ilivyo mitandao ya kijamii mingi tuu kwamba unaweza kumtaja mtu kwenye kile ambacho umekiandika kwa maana ya wengine kuweza kuona vivyo hivyo kwenye Twitter inawezekana pia. Halikadhalika, hata kujiondoa kwenye mazungumzo inawezekana.