Android, apps, Gmail Go
Gmail Go kwa ajili ya simu yenye memori ndogo
Ukiwa unatumia simu janja basi barua pepe ni ufunguo wa kuwa na uwezo wa kupakua programu tumishi mbalimbali kutoka sokoni. Kwenye Android ni lazima...
Android, apps, Chrome, Intaneti
Ulinzi waboreshwa kwenye Chrome ya simu
Moja ya kivinjari ambacho watumiaji wengi wa simu janja wanakitumia ni Google Chrome na ni wazi kuwa kutokana na ukuaji wa teknolojia uhalifu wa...
Android, apps, iOS, Reels
Uwezo wa kusambaza na kutunza picha jongefu kwenye Reels
Katika ulimwengu wa vile picha za mnato ambazo ni fupifupi ndani ya Instagram unaweza kuzifyatua kupitia Reels ambayo imekuwa mshindani wa karibu kwa TikTok.
Android, apps, instagram, iOS, Mtandao wa Kijamii
Maboresho: Kuhusu kuficha maoni kwenye Instagram
Kuna mengi ambayo yanachapushwa kwenye mitandao ya kijamii ambayo yanaweza kuwa hasi au chanya kulingana na maudhui, jinsi kilivyopokelewa; kusababisha fedheha ama furaha na pengine hata...
Android, apps, Google, Teknolojia
Kutumia kalenda za Google kutunza kumbukumbu
Waswahili husema “Mali bila daftari huisha bila habari“. Msemo huu unatukumbusha kuwa ili mambo yaweze kwenda sawia basi hatuna budi kutunza kumbukumbu na kuwepo...
Android, apps, iOS, Maujanja, Teknolojia, whatsapp
Okoa memori kutokana na vitu unavyopokea kwenye WhatsApp
Katika mawasiliano ya kila siku kwenye simu janja WhatsApp inaweza kuwa kinara ya programu tumishi ambazo unazitumia sana na kwa sababu hiyo inawezekana kabisa...
Android, apps, iOS, Teknolojia, Telegram
Uwezo wa kuficha utambulisho wa kiongozi wa kundi kwenye Telegram
Telegram ni programu tumishi ambayo ina vitu vingi vizuri na maboresho mengi ndio huwa yanaonekana huko kwanza lakini si maarufu kwa watu wengi lakini...
Android, apps, Teknolojia, WhatsApp Beta
Uwezo wa DAIMA kunyamazisha vitu kwenye WhatsApp
Katika hali ya kawaida kabisa unaweza ukawa ni mwenzangu wa kupenda viwe vinaingia kimyakimya kwenye WhatsApp bila ya sauti kusikika (kunyamazisha) lakini kwa miaka...
apps, Facebook, instagram
Facebook waunganisha uwezo wa kuchati Instagram na Facebook
Facebook waunganisha uwezo wa kuchati Instagram na Facebook. Mara ya kwanza tuliandika kuhusu mpango wa Facebook kuunganisha uwezo wa kuchati na apps zingine za...
Android, apps, iOS, Teknolojia
Kuhusu kuzuia makelele ya nje kwenye Google Meet
Utulivu wakati wa kufanya mawasiliano ni kitu muhimu hasa pale inapobidi kusikia yote ambayo yanasemwa na mzungumzaji upande wa pili. Teknolojia ya siku hizi...
apps, Mtandao wa Kijamii, Twitter
Huduma ya sauti kwenye ujumbe wa DM kupatikana hivi karibuni kwenye Twitter
Je umetaka kutuma ujumbe wa sauti kwenye DM kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter? Habari nzuri kwako, tayari uwezo huo unafanyiwa majaribio na unategemea...
apps, Facebook, instagram
Facebook kuondoa katazo la matangazo yenye maneno mengi
Kwa muda mrefu tovuti ya kijamii ya Facebook imekuwa ikizuia matangazo yanayolenga kutumika Facebook au Instagram kama yatakuwa na maneno mengi kwenye picha.