Kabla ya janga la virusi vya Corona lililoikumba dunia nzima matumizi ya programu wezeshi-Zoom yalikuwa yanaonekana kuwa muhimu kwa watu walio maofisini, majumbani lakini...
Dunia ya leo vitu vingi tuu vimehamia kwenye ulimwengu wa kidijiti na kufanya mageuzi makubwa sana kuhusu sayansi na teknolojia ukilinganisha muongo mmoja, miwili...
Je kwa sababu yeyote unataka kuendelea kufanya kazi zako kwenye kompyuta na huku ukiangalia video flani, hasa ndefu, kutoka YouTube? Basi kwa kuangalia video...
Kutokana na janga la hatari la virusi vya Corona linalotikisa dunia tumeona kampuni nyingi zimeweza kufunga ofisi zao na kufanya kazi kupitia mtandao wakiwa...
Mabadiliko yanafanyika kwenye huduma namba moja ya kuangalia filamu na tamthilia mtandaoni, Netflix. Kuanzia Oktoba Netflix wataanza kuachia baadhi ya show zake sehemu (episode)...
Ushawahi kujiuliza kama YouTube inalipa kwa mambo mengine nje ya muziki na vichekesho? Fahamu mtoto mwenye miaka 6 raia wa Korea Kusini anayefahamika kwa...
Facebook ambayo kwa kiasi fulani imepoteza uaminifu kwa wateja wake kutokana na mabo mbalimbali yaliyoikumba kampuni hiyo mwaka huu sasa wamebuni njia ya kuwavutia...
Kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa na inavyozidi kukua si kitu cha ajabu kuona mtu akatumia picha jongefu kutoka mtandao wowote na kujifunza jambo fulani bila...
Wabunifu wa programu tumishi ya Instagram wanaonekana kuendelea kuweka nguvu zaidi kwenye vitu vinavyohisiana na picha mnato kwenye IG kwani kitu kizuri kinafanyiwa majaribio.
Baada ya mafanikio kwenye Kombe la Dunia 2018 teknolojia ya Video Assistant Referee maarufu kama VAR itafanyiwa majaribio kwenye mechi za ligi kuu ya...
Mabadiliko ya kasi ya intaneti ndio yameleta vitu vingi ambavyo kwa wengine wanaweza wakawa hawajui maana ya maneno husika lakini kiuhalisia inawezekana kabisa akawa...