Youtube Go Inaagwa Mwezi Agosti 2022!
Youtube Go inaagwa rasmi, maana mpaka kufikia mwezi wa nane mwaka huu (2022) kampuni itakua ishaachana na huduma hiyo.
Youtube Go inaagwa rasmi, maana mpaka kufikia mwezi wa nane mwaka huu (2022) kampuni itakua ishaachana na huduma hiyo.
Kuna kitu kinaitwa YouTube TV ambapo wengi wetu tunaweza tusiwe tunakifahamu lakini kimekuwepo kwa miaka kadhaa sasa na kimekuwa kikifanyiwa maboresho ya hapa na pale ili kukifanya kivutie zaidi.
Mapema mwaka huu Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa YouTube Susan Wojcicki alitoa muhtasari wa mpango mpya wa video aliokuwa akipanga kwa mwaka ujao, ikiwa ni pamoja na dokezo kali kwamba ilikuwa ikizingatia kuanzishwa kwa NFTs kwa watayarishi kuunganishwa kwa njia tofauti na mashabiki. Leo, afisa mkuu wa bidhaa wa tovuti, Neal Mohan, amechapisha chapisho kwenye blogu…
Katika moja ya programu tumishi ambazo watu wanatumia kwa wingi duniani kote ni YouTube ambayo utakubaliana na mimi inaweza kusababisha mtu kupata uraibu wa kuitembelea mara nyingi tuu kila siku.
Wizara ya Habari na Utangazaji imeamuru kuzuiwa kwa chaneli 35 za YouTube na tovuti mbili ambazo zilikuwa zikiendesha propaganda dhidi ya India na kueneza habari za uwongo “kwa njia iliyoratibiwa”. Wizara pia imetoa maagizo ya kuzuiwa kwa akaunti mbili za Twitter, akaunti mbili za Instagram na akaunti moja ya Facebook inayohusika katika kueneza “habari zilizoratibiwa…
Unazifahamu tovuti zinazotembelewa zaidi duniani? Teknokona leo tunakuletea orodha ya tovuti zinazotembelewa zaidi na watu mbalimbali duniani. Mtandaoni kuna aina mbalimbali za tovuti na kila moja ina nafasi yake katika matumizi ya kila siku kwa watumiaji wa mtandao. Tovuti zinazoongoza kwa kutembelewa sana ni tovuti za kutafutia vitu mtandaoni (Search Engines) na tovuti za mitandao…
Billboard inaripoti kuwa wimbo wa watoto wa Pinkfong unaovutia umekuwa video ya kwanza kutazamwa mara bilioni 10 kwenye YouTube. Na hakuna anayeelekea kuipata hivi karibuni – video ya Luis Fonsi ya “Despacito”, ambayo “Baby Shark” ilichukua kama video maarufu zaidi mnamo Novemba 2020, imeweza kutazamwa mara bilioni 7.7 tu mpaka sasa.
Youtube ni jukwaa la kuangalia video mtandaoni na pia kutuma video mtandaoni zenye ukubwa wowote. Jukwaa hili lina wastani wa watumiaji milioni 500 kwa mwezi. Pia jukwaa hili lipo chini ya Google. Watu mbalimbali hutumia youtube kutuma maudhui yao na kulipwa kutokana na vigezo walivyonavyo na wengine huitumia tu kwa kuangalia maudhui ya wengine.
Moja kati ya njia za kujiingizia kipato kupitia mtandao ni kwa kutengeneza Youtube Channel . Kampuni ya Google kupitia huduma yake ya Youtube ya kuangalia video mtandaoni imewapa nafasi watumiaji wenye Youtube Channel kujiingizia kipato kupitia matangazo mbalimbali yatakayokuwa yanaonyeshwa katika video wanazotuma pamoja na kuwa na idadi kubwa ya wafuasi waliojisajili katika channel yako.
Ni jambo la kawaida sana mtu kusogeza mbele au kurudisha nyuma video kwenye YouTube na kutokana na maboresho mbalimbali jambo hilo wala halijifichi kwani wahusika wanaboresha mambo mara kwa mara.
Huduma ya YouTube Shorts ni huduma ya video fupi fupi kutoka katika mtandao wa Youtube na huduma hii kwa kiasi kikubwa inafanya kazi kama vile ile ya TikTok.
Hii imekua ikiwatesa wengi maana kwa kawaida ukiwa unaangalia video katika mtandao wa youtube na kisa ukawa unataka kufanya kitu kingine (kufungua App nyingine kwa mfano) ulikua unashindwa mpaka utoke kabisa Youtube.
Kama njia mojawapo ya kuvutia watumiaji wa “Mdogo wake” YouTube kampuni hiyo imepanga kugawa jumla ya dola za Marekani zipatazo milioni 100 kwa watumiaji mbalimbali wa YouTube Shorts.
Je umejaribu kuangalia video ya YouTube iliyo na kizuizi cha umri na ukaambiwa ni lazima ulogin kwanza kwenye YouTube kwa ajili ya kuhakikisha umri? Fahamu kuna njia ya kutazama video hiyo bila kulogin kwenye tovuti hiyo.
Hadi leo hii Dunia bado inahangaishwa na janga la virusi vya Corona ambalo bado limeendelea kughasrimu maisha ya watu siku hadi siku. Kutokana na utandawazi taarifa kuhusu ugonjwa wa homa kali ya mapafu unapatikana kupitia vyanzo mbalimbali ikiwemo YouTube.
Dunia ya leo vitu vingi tuu vimehamia kwenye ulimwengu wa kidijiti na kufanya mageuzi makubwa sana kuhusu sayansi na teknolojia ukilinganisha muongo mmoja, miwili iliyopita.
Je kwa sababu yeyote unataka kuendelea kufanya kazi zako kwenye kompyuta na huku ukiangalia video flani, hasa ndefu, kutoka YouTube? Basi kwa kuangalia video ya YouTube kupitia VLC kwenye kompyuta itakurahisishia jambo hilo.
YouTube inatarajia kuondoa uwezo wa kuchati kwenye app yao. Uwezo huo wa kutumiana ujumbe binafsi (kuchati) ulianza rasmi miaka ya 2017 na unaondolewa sio kwa sababu za kutotumika bali kwa sababu za kiusalama zaidi.
Ushawahi kujiuliza kama YouTube inalipa kwa mambo mengine nje ya muziki na vichekesho? Fahamu mtoto mwenye miaka 6 raia wa Korea Kusini anayefahamika kwa jina la Boram Ki amenunua jengo lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 8 (zaidi ya Tsh bilioni 16) kwa pesa anazotengeneza kwa sababu ya YouTube.
Kampuni ya Google imethibitisha kwamba kipengele cha mandhari ya Dark Mode kwa watumiaji wa YouTube kimeanza kupatikana kwa simu zenye kutumia mfumo endeshi wa Android.