Simu janja za Google Pixel 6 bila ya uwezo wa kufungua kwa uso
Simu janja nyingi ambazo zinatengenzwa katika mika ya karibuni wanaziongezea sifa kwa kuzifanya kuwa na uwezo wa “Kufungua kwa uso” ingawa mambo ni tofauti kwa simu janja Google Pixel 6 na Pixel 6 Pro.