Ni wazi kuwa Snapchat ilikuja kwa kishindo kikubwa sana, wengi walikua na matagemeo makubwa sana kuhusiana na mtandao huu. Sio kwamba mtandao haufanyi vizuri,...
Watumiaji wa Facebook Stories wafikia milioni 500 na zaidi. Hii ni idadi inayofikia apps zingine kama vile WhatsApp na Instagram, kwenye eneo la Stories...
Watu wengi duniani wanatumia sehemu ya muda wao kutembelea mitandao ya kijamii jambo ambalo limebainika kuwa na madhara hasa kiafya lakini iwapo utatumia muda...
Mbali na kwamba wanafahamika kwa kuwa na programu tumishi inayolenga uchapishaji wa picha/picha mnato lakini pia Snapchat wana bidhaa nyingine (miwani janja) na zimekuwa...
Utajiri unaweza kutokana na sababu mbalimbali na sasa mwanamziki wa miondoko ya RnB amejiongezea utajiri wake baada ya kulipwa karibu $1bn na Snapchat Inc....
Kampuni ya utafiti inayoheshimika nchini Marekani, eMarketer, imesema Facebook inapoteza vijana Marekani wakati app ya Snapchat inazidi kuvutia vijana wengi zaidi.
Tangu mitandao ya kijamii itambulishwe imekuwa sehemu kubwa katika kuleta mabadiliko katika maisha ya kila siku. Ni wazi kuwa watu hutembelea mitandao ya kijamii...