fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Drones Kamera Mtandao wa Kijamii Snapchat

Fununu Ni Kwamba Drone Kutoka Snapchat (Pixy) Zimetengenezwa Chache!

Fununu Ni Kwamba Drone Kutoka Snapchat (Pixy) Zimetengenezwa Chache!

Spread the love

Vyanzo mbalimbali vimedai kuwa kampuni ya Snapchat imezalisha  Drone zake za Pixy kwa uchache sana maana hata wateja wake wa mwanzo kabisa wameembiwa wasubiri ili kuweza kupata kifaa hiko

Hapa lakini kuna mawili, labda imeuza sana kiasi cha kwamba mzigo umewaishia au hawana mzigo wa kutosha hivyo wanatumia hiyo miezi ambayo wamewaambia wateja wasubiri kuzalisha

Pixy Kutoka Snapchat

Pixy Kutoka Snapchat

SOMA ZAIDI KUHUSIANA NA PIXY HAPA

Pixy inauzwa kwa dola za kimarekani 230 -250, takribani Tsh Laki 5. Kingine ambacho Snapchat wenyewe wamegoma kukiweka wazi ni namba kamili ya idadi ya uzalishaji wa Drone hizo.

SOMA PIA  Visa kwenda Marekani hadi utoe taarifa zako za mitandao ya kijamii

Kumbuka hata katika uzalishaji, wataalam huwa wanakaa na kupanga vitu/bidhaa zizalishwe ngapi?  Snapchat imesemekana ilipoteza zaidi ya dola milioni 40 za kimarekani sababu ikiwa walizalisha Spectacles nyingi.

Drone Ya Pixy Kutoka Snapchat

Drone Ya Pixy Kutoka Snapchat

Ningependa Kusikia Kutoka Kwako, Niambie Mawazo Yako Juu Ya Hili Hapo Chini Katika Uwanja Wa Comment.

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Wa TeknoKona Kila Siku, Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Chanzo:TheVerge

SOMA PIA  Waanzilishi Wa Mtandao Wa Vine Waja Na Mtandao Mwingine, Hype!

Nifuate Kwenye Mitandao Yangu Ya Kijamii

  Instagram | Facebook | Twitter | LinkedIn

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TeknoKona Teknolojia Tanzania