Intaneti, Teknolojia
Uwezo wa 5G upo vipi? Fahamu yote muhimu kuhusu teknolojia ya 5G
Je unafahamu uwezo wa 5G? Sifa zake n.k? Makala hii itakusaidia kuweza kuelewa kwa undani teknolojia ya 5G. Hii ni moja ya teknolojia muhimu...
SpaceX, Teknolojia, Tesla
Elon Musk awa Tajiri Namba Moja Duniani na Kushuka tena hadi namba 2 ndani ya muda mfupi
Bwana Elon Musk awa tajiri namba moja duniani na kushuka tena hadi namba 2 ndani ya muda wa siku chache. Kulingana na mahesabu ya...
Data, Kompyuta, Teknolojia
Kukua kwa uwezo wa diski za uhifadhi wa data! #HDD #SSD
Katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia kuna mengi ambayo yanaibuka, kuboreshwa kila leo ili kufanya matumizi mbalimbali ya vifaa vya kidijitali yawe mepesi na...
apps, Teknolojia, Telegram, whatsapp
Progamu ipi ya kutuma ujumbe ni bora kwako? Whatsapp au Telegram?
Ni wazi kuwa Whatsapp au Telegram zina mitazamo tofauti kwa faragha ya watumiaji na data. Ikiwa wasiwasi wa faragha ni kipaumbele au watumiaji wanapenda...
apps, Teknolojia, Uchambuzi, whatsapp
Whatsapp Plus ni nini? – Vitu Unavyotakiwa Kujua
Whatsapp Plus ni programu isiyo rasmi ambayo inaruhusu watumiaji kuungana na kila mmoja kwa njia za hali ya juu zaidi.
instagram, Kompyuta, Mtandao wa Kijamii, Teknolojia
Majaribio ya muonekano mpya wa Insta Stories kwenye kompyuta
Katika maisha yetu ya kila siku wapo watu ambaoo haiwezi kupita saa chache bila kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii na hii inatokana na utandawazi,...
Nokia, simu, Teknolojia
Anguko la Nokia duniani. Ni kwanini ilianguka? Fahamu zaidi
Baada ya kufanikiwa kuliteka na kulimiliki soko kwa takribani muongo mmoja ghafla taratibu mauzo yanapungua na kuanguka kabisa sokoni. Inashangaza na kushtua kidogo kuona...
Gari, Magari, Teknolojia
Gari la Steve Jobs halikuwaga linawekwa namba za usajili / ‘plate number’. #Fahamu
Je aliwezaje? Fahamu gari la Steve Jobs halikuwahi kuwekwa namba za usajili/yaani plate number. Steve Jobs alikuwa anapendelea kutumia gari aina ya Mercedes ikiwa...
Honor, Huawei, Kompyuta, Teknolojia
Honor kuja na laptops za Windows 10, mafanikio baada ya kujiondoa kwa Huawei
Baada ya miezi kadhaa ya kukata mahusiano na kampuni ya Huawei, brand ya Honor kuja na laptops zinazotumia programu endeshaji ya Windows 10. Hii...
Apple, Samsung, Teknolojia
Apple Vs Samsung: Tunatoa Mwaka (2020) Kwa Apple!
Apple na Samsung wamekua wakichuana vikali sana katika soko la kutengeneza na kuuza simu. Ni sawa iko wazi wengi wetu tunapenda samsung, lakini kwa...
Apple, IPhone, Kamera, Teknolojia
FAHAMU Teknolojia Ya LiDAR Kwenye Baadhi Ya iPhone!
Tangia iPhone 12 Pro ilivyotoka ndio simu ya kwanza kutoka Apple ambayo imekuja na teknolojia ya LiDAR, tumeona vipengele vingi vipya kuja na hii...
Apple, Gari, Magari, Teknolojia, Tesla
Elon Musk: “Tulijaribu kuwauzia Apple kampuni nzima ya Tesla ila Tim Cook akazingua”
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya magari yanayotumia mfumo wa umeme ya Tesla, amesema walishajaribu kuwauzia Apple kampuni ya Tesla ila Tim Cook alizingua. Inasemekana...