Bei za Galaxy S21, S21 Plus na S21 Ultra kwenye maduka ya Tigo
Tuliandika kuhusu ujio wa simu za Samsung Galaxy S21, S21 Plus na S21 Ultra siku chache nyuma, sasa hizi ndio bei zake rasmi kupitia mtandao wa Tigo Tanzania. Tunategemea hazitapishana sana na bei rasmi.