Samsung Yasema Google Assistant Inakuja Kwenye Galaxy Watch 4!
Ukiachana na kusubiriwa kwa muda mrefu, tamko limetoka rasmi kuwa msaidizi kutoka Google (Google Assistant) atafika katika saa janja maarufu kutoka Google.
Ukiachana na kusubiriwa kwa muda mrefu, tamko limetoka rasmi kuwa msaidizi kutoka Google (Google Assistant) atafika katika saa janja maarufu kutoka Google.
Uvaaji wa saa janja umekuwa ukikua mwaka hadi mwaka na makampuni mbalimbali yamekuwa yakitoa kifaa hicho cha kuvaa mkononi pamoja na masashisho ambayo zinafanya ziwe imara kuziepusha na mabaya kwenye ulimwengu huu wa teknolojia.
Miaka imesogea na teknolojia imekua pia; saa tulizokuwa tulizovaa miaka 10, 20, n.k iliyopita ni tofauti sana na hizi za leo ambazo zina mengi mbali ya kuonyesha muda (saa, dakika na sekunde).
Mauzo ya saa janja yaendelea kufanya vizuri mara baada ya kuonekana kuongezeka katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2021 ambapo makampuni makubwa yaendelea kujitutumua.
Kwa namna yake teknolojia ya simu zinazojikunja zinarudi kwenye ushindani/machoni pa watu. Kama utakuwa ni mpekuzi mzuri kuhusu teknolojia utafahamu kuwa makampuni mbalimbali yana buni vifaa vya kidijiti vinavyokunjika mathalani simu janja inayovaliwa mkononi.
Wakati habari za uzinduzi wa Samsung Galaxy Note 9 zilikuwa katika mitandao mbalimbali haikuelezwa kuwa siku ya utambulisho wa simu hiyo wangetambulisha saa janja yenye jina jipya, Galaxy Watch.
Xiaomi imetangaza ujio wa saa janja (Smart Watch) kwa ajili ya watoto. Saa hizo zitajulikana kwa jina la Mi Bunny Watch 3 na zitakuwa na teknolojia ya 4G pamoja na sehemu ya kuwekea laini.
Vitu mbalimbali zenye rangi nyekundu kutoka kampuni maarufu na tajiri katika biashara ya vifaa vya teknolojia. Apple imeonekana kupata mamilioni ya dola za kimarekani yaliyotokana na kuuza bidhaa zake zenye rangi upendo 😀 😀 .
Shirikisho la wakala wa mtandao nchini Ujerumani limepiga marufuku uuzaji wa saa janja za ‘kitoto’ kwa watoto kwa madai saa hizo zinatumika kama vifaa vya upelelezi.
Fossil imekuwa ni moja ya makampuni ambayo yanashindana vilivyo na kampuni kama Apple kwenye biashara ya saa janja na baada ya kutoa toleo lililopita katika muendelezo wa saa janja kutoka kwenye familia ya “Q”.
Kampuni ya Apple imefanya vizuri katika soko kwa kuuza saa janja (Apple Watch) zake katika robo tatu ya mwaka 2017 kulingana taarifa ya Canalys iliyotoka karibuni.
Katika kizazi cha teknolojia siku hizi kuna saa maarufu sana kwa jina lisilo rasmi la ‘saa janja’ zikiwa zimesheheni mengi mazuri yanayosaidia katika maisha ya kila siku yaliyozungukwa na teknolojia. Sasa kuna saa nyingine inaweza ikakufanya usitamani tena kuchaji kitu chochote daima.