fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Chrome

Chrome, Firefox Zapata Maboresho
ChromeFirefoxTeknolojia

Chrome, Firefox Zapata Maboresho

Google Chrome inaweza kukupa taarifa kutoka mitandao uipendayo, kwa mfano, umepata rafiki mpya wa Facebook. Firefox iko mbioni kukuwezesha kutumia ‘extensions’ za Chrome na Opera. Katika kipindi ambacho, njia kuu ya watu kuingia mtandaoni ni vivinjari, ni jambo la muhimu kukuletea maboresho ya programu hizo ili kukuwezesha kufaidi zaidi teknolojia. ‘Chrome Notifications’ na ‘Chrome Custom…

Tumia Google Docs Bila Intaneti kwenye Kompyuta
ChromeKompyuta

Tumia Google Docs Bila Intaneti kwenye Kompyuta

Google Docs imetoka mbali sana na sasa programu hii inafanya mambo mengi zaidi. Tangu mwanzo, Docs imejikita katika ushirikiano kati ya wewe na watu wengine katika kufanya kazi mtandaoni na jambo hilo limeifanya kuwa zana bora iliyobadilisha jinsi watu wengi duniani wanavyofanya kazi za nyaraka. Imefikia hatua sasa, unaweza kuhariri kazi za Word, Powerpoint na…

Google Chrome vs Mozilla Firefox
ChromeFirefoxTeknolojia

Google Chrome vs Mozilla Firefox

Chrome na Firefox ni vivinjari wavuti vilivyokamata dunia linapoongelewa suala la kuperuzi wavuti katika miaka ya karibuni. Yapo mengi ya kutofautisha kati ya vivnjari hivi ila cha kukubaliana ni kwamba vyote viwili vinatengenezwa na maprograma wenye ujuzi wa hali ya juu kuizifanya kuwa na teknolojia ya kisasa zaidi. Dhamira Tofauti Jambo la kwanza kabisa katika…

Utaacha Windows ili Kutumia Google Chromebook?
ChromeKompyutaLaptop

Utaacha Windows ili Kutumia Google Chromebook?

Na Brian L. Anderson Dunia ya kompyuta-pakato au laptopu kwa lugha ya kisasa imepamba moto. Kila kampuni inapigania kujiweka tofauti na ushindani na tayari kampuni kama IBM zimejitoa kabisa kwenye kinyang’anyiro hicho. Chromebooks, Ultrabooks, na ‘hybrid’ zimejitokeza kutokana na jitihada za makampuni mbalimbali kulenga zaidi mahitaji na malengo yako mtumiaji. Kompyuta hizo zimefikia hatua ya…

  • 1
  • 2
TeknoKona Teknolojia Tanzania