Kompyuta, Maujanja, Teknolojia, Windows 10
Jinsi ya kuweka/kuondoa mfumo wa tabiti kwenye Windows 10
Programu endeshi ambayo inashauriwa kutumika kwenye kompyuta katika miaka ya karibuni ni Windows 10 lakini lazima tufahamu kuwa si kila kipakatalishi kinakubaliana toleo hilo...