fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Windows 8

MicrosoftTabletWindows 8

Tablets na Kompyuta za Windows 8 Kuingia Sokoni Oktoba!

Kampuni ya Microsoft watoa taarifa kuwa vifaa vitakavyokuwa vinatumia Windows mpya ya 8 vitakuwa madukani kuanzia mwezi Oktoba mwaka huu. Hayo yalisemwa katika Mkutano wa Microsoft Worldwide Partner, Microsoft iliwaambia washirika wa kampuni hiyo (kampuni zinazotengeza kompyuta) inatarajia kutoa Windows 8 RTM mapema Agosti. RTM inasimama kwa ajili ya ‘Release To Manufacturing’ hivyo hii inamaanisha Microsoft inaweza…

AppleMicrosoftsimuTabletTabletsWindows 8

‘Surface’, Microsoft Waamua Kutengeneza ‘Tablet’!

Kabla ya kuwaelezea kuhusu hii tablet kutoka kampuni ya Microsoft, kwanza ningependa kuanza kwa kuelezea kitu gani kinaitwa ‘tablet’, naamini wengi watakuwa wanatambua ila nimeshauulizwa maswali mengi sana wakati watu wakiniona na tablet. Wengi wanaziita IPad hata kabla ya kujua inatengenezwa na kampuni gani. Tablet- ni jamii ya vifaa vya kompyuta vyenye muundo mdogo wa…

AndroidAppleKompyutaTabletWindows 8

Kaa Tayari Kwa WIndows 8!

Chapa rasmi ya Windows 8 Weka viganja vyako tayari kwani Microsoft inajiandaa kukuletea Operating system nyingine katika mwendelezo wake wa familia za Windows. Operating system hii mpya itaitwa Windows 8. Microsoft inautangaza huu ujio mpya wa operating system ya Windows kama wazo jipya kabisa na la kipekee ambalo halijawahi kutokea katika ulimwengu mpana wa teknolojia…

TeknoKona Teknolojia Tanzania