Tableti ya HTC A101 – Tableti mpya kutoka HTC. #Uchambuzi
Tableti ya HTC A101 ni tableti mpya mjini. Kampuni ya HTC kuna kipindi ilikua imeshika chati kwenye soko la simu ikishindana na Samsung.
Tableti ya HTC A101 ni tableti mpya mjini. Kampuni ya HTC kuna kipindi ilikua imeshika chati kwenye soko la simu ikishindana na Samsung.
Hapa kuna mambo mengi sana lakini makubwa ni kwamba Amazon inafuga duka lake la vitabu hivyo vya kimtandao na ukiachana na hilo hata bado wataacha kabisa kusambaza vitabu hivyo.
Karibu mara zote ambazo Huawei wanazindua bidhaa zao basi huwa wanafanya mkutano ambao unahusisha kile ambacho wanataka kukionyesha rasmi kwa ulimwengu lakini mambo ni tofauti kwa MediaPad M5 lite.
Katika miaka kadhaa sasa makampuni mengi yamejaribu kutoka kompyuta mpakato ambazo zinaweza kutumika katika namna mbili tofauti; kutumia kama kompyuta au tabiti katika kifaa hicho hicho.
Hewlett Packard (HP) kampuni ambayo imekuwa kwenye biashara ya vifaa vya teknolojia kwa miongo kadhaa sasa na kutokea kupendwa kutokana na bidhaa zake kuwa na imara pamoja na uwezo wa kuhimili mambo mbalimbali yanayoweza kuharibu bidhaa fulani kutoka HP.
Lenovo imekuwa ni kampuni inajihusisha na masuala ya utengenezaji wa vifaa vya kiteknolojia kwa miaka sasa. Tukizungumzia kompyuta za mpakato au hata simu janja wengi watakuwa wanazifahamu/wameshawahi kuzitumia.
Lenovo wanaionesha katika maonesho ya CES 2016 tablet yao mpya ambayo unaweza kuigeuza kuwa Laptop, Projector ama kamera ya 3D kutokana na mahitaji yako. Tablet hii imekuwa ndiyo moja ya habari zinazoongelewa zaidi katika siku ya kwanza ya maonesho haya ya kimataifa ya bidhaa za electronics.
Microsoft imejikita katika kuingia katika makubaliano ili kupata ushirikiano wa Dell pamoja na hewlett packard (HP) katika kuuza tabiti zake zinazojulikana kama Surface Pro kwa wateja wakubwa (makampuni).
Kwa wale mashabiki wa ubishi wa bidhaa za Apple au Samsung, kwamba ipi ni bora zaidi, ubishi umetiwa chachu tena kwa mara nyingine, kwani Samsung wametangaza Galaxy Tab S2, tabiti zinazofuta rekodi za u-wembamba uliowekwa kwanza na iPad Air 2 ikifuatiwa na Sony Xperia Z4 Tablet na Dell Venue 8 7000. Tabiti hizo mpya ziko…
Miaka kama mitatu minne hivi iliyopita mtu asingefikiria kuna muungano kama huu ungeweza kutokea katika kuleta kifaa chochote kama tableti. Lakini umetokea. Baada ya BlackBerry kununua kampuni moja ya teknolojia ya kiusalama zaidi ya Secusmart ya huko Ujerumani sasa wameshirikiana na kampuni ya IBM na Samsung na kuleta tableti iliyo kwenye kiwango cha juu kabisa…
Kwa kipindi kirefu kampuni ya Apple ilikuwa imeshikilia msimamo wa kutoamini kuhusu simu au tableti zilizokubwa lakini kupitia iPhone 6 na iPhone 6 Plus tuliona msimamo huo ukiondoka na watafiti wengi wamechukulia mabadiliko hayo yamesukumwa na mafanikio ya simu na tableti za Android ambazo zinakuja kwa ukubwa mbalimbali na zinafanikiwa. Sasa Apple kuja na iPad…
Simu nyingi za kisasa huja na programu ya kucheza muziki. Programu hii inatosha kwa mambo ya msingi lakini vipi kama unahitaji muonekano tofauti au mambo mengine matamu zaidi kama kucheza muziki punde unapochomeka hedifoni na kupata picha za wanamuziki sanjari na nyimbo zako? Tunachambua app 5 bomba za muziki kwa ajili ya simu yako ya…
Kuna muda mwingi simu zinakuwaga nzito na utendaji wake wa kazi unaathirika sana, zinakuwa na joto sana na muda mwingine ata zinaweza zikawa ata zinazima pale chaji ikiwa safi tuu. Na hapa ndio app hii ya Clean Master inakuja.
Kama ukiangalia katika simu-janja yako au tablet nina uhakika App nyingi ulizoshusha ni za bure, wote tunapenda App za bure. Mara nyingi App za bure zina gharama za faragha (privacy) wakati wa kuziingiza katika kifaa chako. Je unasomaga vigezo na masharti? hapana. Unabonyeza tuu ‘Agree’ katika vigezo na masharti
Unaitumia vipi simu-janja yako, kupiga na kupokea simu tuu?. Inasemekana asilimia 80 ya watumiaji wa simu-janja hawatumii simu zao katika asilimia 100 kama inavyotakiwa. wengi huwa wanadownload vitu mbali mbali kama magemu na mitandao ya kijamii na kuingia katika intaneti tuu na wanakua wameridhika. vipi kama kuna vitu vingi unavyoweza tumia ukiwa na simu yako?…
Google wametambulisha toleo jipya la Android, lenye namba 5.0 linalokwenda kwa jina la Android Lollipop. “‘Lollipop’ kama pipi?” Ndiyo, ni sawa kabisa toleo hili la Android limepewa jina la pipi ya kulamba. Google wamekuwa wakiyapa matoleo yake ya Android majina ya pipi, keki na aiskrimu. Unakumbuka tulipoandika kuhusu toleo hili? Tuliotea jina hili na tulielezea…
Inafahamika wazi kuwa simu za Android kama vile Samsung Galaxy ndio wapinzani wakubwa wa kampuni Ya Apple ambao wana iPhone zinazotumia iOs. Watu wengi wanasema simu za android ni rahisi kutumia kuliko zile za Apple, Mimi nasema inategemea na mtu na chaguo lake (ha!). Watumiaji wa Android wanafurahia maelfu kwa maelfu ya aplikesheni (Application) zinazopatikana…
Hawlett-Packard (HP) ambayo ni kampuni Nguli kwenye masuala ya kompyuta na vifaa vya uchapishaji inategemewa kupitia mabadiliko makubwa. HP iliundwa takribani miaka 75 iliyopita huko Palo Alto, California na ndipo makao makuu hadi sasa. HP imeweza endelea licha ya kuwa ikipata michuano mikali na kampuni zingine kama Oracle na IBM, kuanzia mwaka 2012 chini ya…