Nusu ya Pili ya Mwaka 2022 hii hapa: Matoleo Mapya ya Simu yanayotarajiwa.
Tumeshaingia nusu yapili ya mwaka 2022 si vibaya tukatazama matoleo mapya ya simu za makampuni mbalimbali yanayotarajiwa kutoka katika kipindi hiki cha mwaka. Tutapangilia matoleo hayo kufuata mwezi ambao simu inategemewa kuzinduliwa, kuanzia hapa karibuni.