OnePlus yazindua Nord N10 5G na Nord N100! #Simu
Kampuni ya utengenezaji wa simu janja ya OnePlus wameweza kuzindua simu janja mbili za bei ya kati, Kampuni hiyo imezindua simu janja toleo la Nord N10 5G na Nord N100.
Kampuni ya utengenezaji wa simu janja ya OnePlus wameweza kuzindua simu janja mbili za bei ya kati, Kampuni hiyo imezindua simu janja toleo la Nord N10 5G na Nord N100.
Inafahamika kuwa OnePlus ni kampuni kubwa ambayo inajulikana katika soko la simu janja. Kampuni imejibebea umaarufu mkubwa baada ya kutoa simu janja zake ambazo zina hadhi ya juu na pia zinaweza kushindanishwa na simu zingine.
Moja kati ya kampuni mpya mpya katika utengenezaji wa simu, OnePlus, kutoka nchini Uchina waingia rasmi kwneye soko la simu la nchini Marekani.