fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

OnePlus OnePlus Tabiti

Pengine OnePlus Wakaja Na Tabiti Ya Android!

Pengine OnePlus Wakaja Na Tabiti Ya Android!

Spread the love

Kwa haraka haraka dhumuni linaweza kuwa ni kuja kuichachafya Samsung, lakini nadhani OnePlus wana sababu nyingi ukiachana na hii.

Fununu zilizopo ni kwamba tabiti hiyo itajulikana kama OnePlus Pad. Kwa upande wa OnePlus wenyewe bado hawajathibitisha hili kwamba wanakuja na tabiti ya Adroid

Taarifa Za Muhimu Kuhusu Inayodhaniwa Kuwa OnePlus Pad

Taarifa Za Muhimu Kuhusu Inayodhaniwa Kuwa OnePlus Pad

Kusoma taafifa hizo zote ingia —-> Hapa <—

Tunajua Kuwa kampuni imeungana na Oppo na kuwa chini ya kampuni ya BBK Electronics ambayo inamiliki Vivo na RealMe.

Kujua zaidi Kuhusu Muunganiko Huu Soma —> Hapa <—-

Oppo Na OnePlus

Oppo Na OnePlus

Katika kuliwezesha hili kumbuka kwa sasa OnePlus ina malighafi nyingi sana kwa sababu inashirikiana moja kwa moja na kampuni ya Oppo.

SOMA PIA  Sifa zote za OnePlus Nord ndio hizi hapa

Kwa ushirikiano huu ni kwamba kutakua na tabiti nyingi tuu ambazo zinaweza kuzalishwa na wawili hao na kuleta mapinduzi makubwa katika soko.

Niandikie hapo chini katika eneo la comment, je unaona ni kweli wakitoa tabiti zao wataleta ushindani mkubwa kwa tabiti za Samsung? ningependa kusikia kutoka kwako.

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Pendwa Wa TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania