fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Tablets

Njia 3 Za Ku ‘Reset’ Simu Ya Android!
AndroidHTCHTC OneJinsiMaujanjaSamsungsimuSmartphonesTabletTabletsTeknolojia

Njia 3 Za Ku ‘Reset’ Simu Ya Android!

Inafahamika wazi kuwa simu za Android kama vile Samsung Galaxy ndio wapinzani wakubwa wa kampuni Ya Apple ambao wana iPhone zinazotumia iOs. Watu wengi wanasema simu za android ni rahisi kutumia kuliko zile za Apple, Mimi nasema inategemea na mtu na chaguo lake (ha!).  Watumiaji wa Android wanafurahia maelfu kwa maelfu ya aplikesheni (Application) zinazopatikana…

Tableti Tano Bomba Mwaka Huu
IPadSamsungSonyTabletTablets

Tableti Tano Bomba Mwaka Huu

Umuhimu wa Tableti unazidi kuonekana duniani. Kila kukicha, mauzo ya gajeti hizi yanaongezeka. Ni dhahiri waatu wanahitaji kufanya kazi au kuburudika wakiwa njiani na vitumi vya mkononi. Kwa kuona umuhimu huo, hii makala inakupa tableti tano bomba zinazopendwa na watu wengi na wachambuzi tofauti duniani mpaka sasa kwa mwaka huu. 5. Google Nexus 7 Tableti…

Manchester United: i-Pad, Marufuku!
AppleIPadTabletTablets

Manchester United: i-Pad, Marufuku!

Wakati dunia ikiusubiria kwa hamu mismu mpya wa ligi kuu ya mpira wa miguu Uingereza (almaarufu kama ‘Barclay’s Premier League’)  uanze, timu maarufu ya Manchester United ilitangaza mapema wiki hii ilani ya kukataza vifaa vya kielektroniki (gajeti) vikubwa kama laptop na tableti  kwenye mechi zao za nyumbani – ndani ya uwanja wao wa Old Trafford.

simuTablets

Android Na Shutuma ya ‘BOTNET’, Google Yaongea!

Kuna mtafiti mmoja kutoka kampuni ya Microsoft, Mr Zink, siku chache zilizopita alidai amegundua kwa mara ya kwanza kuwa kuna barua pepe za spam zinazotumwa kutoka simu za Android kwa mfumo wa BOTNET. Mfumo wa Botnet, Bot Herder ataweza Kuongoza kompyuta Nyingine bila Wamiliki Kugundua BOTNET ni programu zinazotengenezwa kuambukizwa kwenye kompyuta na vifaa vingine…

AirtelBlackberryMaujanjasimuTabletsTanzaniaTigoVodacom

Tatua Utumiaji Wa Intaneti Kwenye Blackberry Bila BIS

Vifurushi vya BIS ndiyo watu wangu huwa wanazungumzia kama BBM, lakini huwa wanakosea. Ulipii huduma ya BBM (Blackberry Messenger) bali unacholipia huwa ni huduma ya BIS (Blackberry Internet Service), ambayo ukishajiunga unapata mlolongo wa huduma nyingine nyingi za intaneti katika simu yako ya Blackberry kama kuweza kutumia huduma ya kuchati ya Blackberry (BBM), huduma za…

AndroidBlackberryIPhonesimuTabletsteknokona

RIM Yazidi Kuyumba. Simu za Blackberry 10 Hadi Mwakani!

Mwezi wa nne niliandika kuhusu hali ngumu kimauzo iliyokuwa inaikabili kampuni ya RIM (Research In Motion) watengenezaji wa simu maarufu za Blackberry, niliandika ‘RIM; Je Kifo Cha Kampuni ya BlackBerry Kinakaribia’. Hali mbaya bado inaendelea na sasa imefikia hatua wamesukuma mbele muda wa kuziingiza sokoni simu za kisasa zaidi za Blackberry 10 ambazo wengi wamekuwa…

AppleMicrosoftsimuTabletTabletsWindows 8

‘Surface’, Microsoft Waamua Kutengeneza ‘Tablet’!

Kabla ya kuwaelezea kuhusu hii tablet kutoka kampuni ya Microsoft, kwanza ningependa kuanza kwa kuelezea kitu gani kinaitwa ‘tablet’, naamini wengi watakuwa wanatambua ila nimeshauulizwa maswali mengi sana wakati watu wakiniona na tablet. Wengi wanaziita IPad hata kabla ya kujua inatengenezwa na kampuni gani. Tablet- ni jamii ya vifaa vya kompyuta vyenye muundo mdogo wa…

TeknoKona Teknolojia Tanzania