fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Tigo

AirtelAndroidIntanetiJinsisimuTanzaniaTigoVodacom

Wezesha Intaneti Kwenye Simu/Tableti ya Android!

Mitandao yetu ya simu huwa inatuma mipangilio(settings) ya huduma za intaneti lakini mara nyingi imegundulika hawajafanya mabadiliko ya mipangilio hiyo ili iendane na simu za kisasa na matokeo yake mipangilio hiyo inashindwa kufanya kazi. Hii inatokea kwa simu nyingi hasa za mfumo wa Android. Hivyo Teknokona tumeona ni vizuri upate kuondoa usumbufu wa kuhangaika kuwezesha…

IntanetisimuTigo

Mtandao wa Tigo Mbovu Siku ya Leo!

Nilipokea ujumbe mfupi wa maneno leo asubuhi mida ya saa 5 kutoka tigo ‘Kutokana na kukatika kwa mkonga baharini mtandao wa tiGO intaneti hautopatikana. Mafundi wetu wanafanya jitihada kurekebisha tatizo. Tunaomba radhi kwa usumbufu’. Hadi muda huu, takribani saa tano usiku bado kwangu na kwa wengine niliowasiliana nao huduma ya intaneti bado haipatikani. Matatizo haya…

  • 1
  • 2
TeknoKona Teknolojia Tanzania