fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Zantel

AirtelSamsungTanzaniaTRAZantel

Jana Saba Saba!

Jana nilitembelea maonyesho ya Saba Saba, hasa hasa nilienda maeneo yanayodili ya teknolojia, ila kabla ya kufika huku nilipitia banda la BRELA, ambao ni wasajiri na watoaji leseni za biashara Tanzania. Habari njema ni kuwa www.teknokona.com sasa itakuwa chini ya Teknokona Solutions, huko mbele tunategemea kuwa na shughuli nyingine hii ni pamoja na kutoa huduma…

AirtelTanzaniaTigoVodacomZantel

Unatumia Modem Gani?

Nina mpango wa kuandika makala fupi kuhusu ni mtandao gani uchague unapotaka kununua ‘modem’ kulingana na matumizi yako, ila kabla sijafanya hivyo ningependa kupata picha nzima kutoka kwenu wasomaji wetu, Je wewe unatumia modem ya kampuni gani? Na kama ushawahi kutumia kampuni nyingine kwa nini umeachana nayo? <a href=”http://www.blogpolls.com/poll/79856.html”>Blog Polls</a>

TeknoKona Teknolojia Tanzania