Inasemekana kwa siku ya jana wateja wa wengi wa Tigo walipata shida sana katika huduma ya sms, na kutokana na hilo kampuni hiyo imeamua kutoa ofa kabambe kwa watumiaje wake kutumia huduma hiyo ya ujumbe mfupi bure kwa siku ya leo. Tazama walichoandika Facebook leo;
Kupitia meseji zilizoandikwa na watumiaji wa mtandao huo wengi wameonekana kufurahia ofa hiyo kwa sana.
Hivi karibuni tumeona mitandao mingi ikizingua kwenye huduma zake asa za kipesa (mobile money) na pamoja huduma ya intaneti na ninadhani ofa kama hii ikiwa inatolewa na mitandao hiyo pale huduma hizo zinapozingua itakuwa msaada zaidi. Hongereni Tigo kwa hili!
Tupe Maoni Yako!
No Comment! Be the first one.