fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

tecno

Airtel

Zambia yapata Internet ya Bure
AfrikaAirtelFacebookIntaneti

Zambia yapata Internet ya Bure

Shirika lisilokuwa lakiserikali la internet.org duniani limeungana na Airtel ya Zambia kuwapa watu wa Zambia internet ya bure kabisa kwa huduma chache za msingi na zile zinazotumika na watu wengi duniani kama facebook. Shirika hili linapewa msaada na kampuni ya Facebook na lina ndoto ya kuunganisha dunia nzima kwa intaneti. Watu nchini Zambia hivi sasa…

AirtelAndroidIntanetiJinsisimuTanzaniaTigoVodacom

Wezesha Intaneti Kwenye Simu/Tableti ya Android!

Mitandao yetu ya simu huwa inatuma mipangilio(settings) ya huduma za intaneti lakini mara nyingi imegundulika hawajafanya mabadiliko ya mipangilio hiyo ili iendane na simu za kisasa na matokeo yake mipangilio hiyo inashindwa kufanya kazi. Hii inatokea kwa simu nyingi hasa za mfumo wa Android. Hivyo Teknokona tumeona ni vizuri upate kuondoa usumbufu wa kuhangaika kuwezesha…

AirtelAndroidAppleBISBlackberryIntanetiIPadIPhoneKompyutaMtandaosimuTabletTanzaniaTigoVodacom

Kwa Ufupi: Habari Mseto za Wiki!

Kuanzia sasa tutakuwa tunakuleta ‘Kwa Ufupi: Habari Mseto za Wiki!’ kila mwisho wa wiki tukikupa habari mbalimbali kwa ufupi ambazo hatukufanikiwa kuaziandika katikati ya wiki! Soma, i’tweet, ipe ‘Like’ na tuma kwa wengine..usisahau ku’Like’ ukurasa wetu wa Facebook www.facebook.com/teknokona Mwamvita Makamba ala shavu Afrika Kusini, sasa kufanyia kazi makao makuu!   Mtoto wa Mzee Yusuf…

  • 1
  • 2
TeknoKona Teknolojia Tanzania