Tanzania, TCRA, Teknolojia
Tuzo za TEHAMA zinazoratibiwa/kutolewa na TCRA
Leo hii huwezi kuongelea Tanzania bila kuzungumzia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ambayo kimsingi ni taaluma kama zilivyo nyingine na mwaka huu tutapata...
Kompyuta, TCRA, TEHAMA, Teknolojia
TCRA kuwashindanisha vijana wa vyuoni katika shindano la udukuzi
TCRA kupitia kitengo chao cha ulinzi wa kompyuta wa dharura, TZ-CERT imeleta shindano kwa wanavyuo wachukuao masomo ya teknolojia ambalo litawafanya wanafunzi kuweza kudukua...
Halotel, Mitandao ya Simu, Tanzania, TCRA, Teknolojia, Tigo, TTCL
Usajili wa kadi za simu kwa njia ya alama za Vidole mwisho ni Disemba 31 mwaka huu
Wakati watanzania wakiwa wanaendelea kukumbushwa kuhusu kwenda kusajili upya kadi zao za simu sasa imeshajulikana tamati ya zoezi hilo.
Halotel, Mitandao ya Simu, Tanzania, TCRA, Teknolojia, Tigo, TTCL
Usajili wa kadi za simu kwa njia ya alama za vidole kuanza Mei Mosi 2019 #Tanzania
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA imetoa tangazo kwa wateja wote wanaotumia line za simu za makampuni ya mawasiliano kwamba kuanzia mwezi Mei mosi, 2019,...
Mitandao ya Simu, Tanzania, TCRA, Teknolojia
Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu Tanzania (TTMS)
Moja ya sekta ambayo nchi nyingi duniani zinaingiza pato kubwa ni kwenye sekta ya mawasiliano ambayo katika maisha yetu ya kila siku kuna mambo...
Tanzania, TCRA
Mafundi wa vifaa vya kielektroniki kutakiwa kusajiliwa
Mafundi wa vifaa vya kielektroniki ambao kiukweli ni wengi karibu kila kona ya Jiji la Dar es Salaam lakini hata katika mikoa mingine wapo...
simu, Tanzania, TCRA, Teknolojia
Rungu la TCRA kwenye simu za mkononi
Inaonekana zoezi la kufungua simu ambazo sio halisi halikufikia tamati kwani idadi mpya imetolewa ambapo rungu la TCRA limezifika simu zaidi ya nne elfu.