fbpx

Rungu la TCRA kwenye simu za mkononi

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Inaonekana zoezi la kufungua simu ambazo sio halisi halikufikia tamati kwani idadi mpya imetolewa ambapo rungu la TCRA limezifika simu zaidi ya nne elfu.

Miaka kadhaa imepita tangu mamlaka ya mwasiliano Tanzania (TCRA) kufungia simu ambazo zilibanikika kutokuwa halisi na kwa kiasi fulani kuna watu waliathirika kutokana na zoezi hilo.

Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na mamlaka hiyo hivi karibuni imebainisha kufungua simu 4,340 baada ya kubainika kuwa na walakini wa kutokuwa halisi, kuibiwa (simu ya wizi) au kununuliwa kwenye maduka yasiyo rasmi lakini pia zikiwa chini ya kiwango.

Rungu la TCRA

TCRA yafungua simu zaidi ya elfu nne baada ya kuzibaini kuwa na makosa.

Zoezi hilo ambalo ni endelevu limefanika kati ya mwezi Julai-Septemba 2018 huku wito ukiwa umetolewa watu kuacha kununua simu kiholela vinginevyo watajikuta kwenye mikomo ya sheria.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Zuku Fiber: Baada ya Kuitumia kwa zaidi ya miezi 4! #Uchambuzi
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.