fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

simu Tanzania Teknolojia Tigo Uchambuzi

Bei za Galaxy S21, S21 Plus na S21 Ultra kwenye maduka ya Tigo

Bei za Galaxy S21, S21 Plus na S21 Ultra kwenye maduka ya Tigo

Spread the love

Tuliandika kuhusu ujio wa simu za Samsung Galaxy S21, S21 Plus na S21 Ultra siku chache nyuma, sasa hizi ndio bei zake rasmi kupitia mtandao wa Tigo Tanzania. Tunategemea hazitapishana sana na bei rasmi.

Nje ya kuweka bei wazi mtandao pia umeanza kuchukua malipo kwa wale wanaoweza kuanza kulipia mapema (Preorder).

Bei ya Galaxy S21

Mtandao wa Tigo unauza kwa Tsh. 2,269,999/=

Memori :
 • Diski uhifadhi: 128GB
 • RAM: 8GB
Kamera :
 • Kamera Kuu: Megapixel 12, 64 , na 12
 • Kamera ya Selfi: Megapixel 10
Betri :
 • Li-Ion 4300 mAh, uwezo wa kuchaji haraka /Fast charging 25W
Uzito :
 • Gramu 169
Programu Endeshi :
 • Android 11, One UI 3.1

Na teknolojia mbalimbali muhimu, soma zaidi – Uchambuzi wa Galaxy S21 na S21 PlusGalaxy S21

Bei ya Samsung Galaxy S21 Plus

Tigo wanauza kwa Tsh. 2,849,999/=

Memori
 • Diski uhifadhi: 128GB
 • RAM: 8GB
Kamera
 • Kamera Kuu: Megapixel 12, 64 na 12
 • Kamera ya Selfi: Megapixel 10
Betri
 • Li-Ion 4300 mAh, uwezo wa kuchaji haraka /Fast charging 25W
Uzito
 • Gramu 169
Programu endeshi
 • Android 11, One UI 3.1

  Galaxy S21

  Samsung Galaxy S21 na 21 Plus, Galaxy 21 Ultra.

Bei ya Samsung Galaxy S21 Ultra

Tigo wanauza kwa Tsh. 3,489,999/=

Kioo
 • Ukubwa: inchi 6.8
 • Ubora: 1440 x 3200 pixels
Memori
 • Diski uhifadhi: 128GB, 256GB na 512GB
 • RAM: 12GB/16GB
Kamera
 • Kamera Kuu: Megapixel 108, 10 na 12
 • Kamera ya Selfi: Megapixel 40
Betri
 • Li-Ion 5000 mAh, uwezo wa kuchaji haraka /Fast charging 25W
Uzito
 • Gramu 227
Programu endeshi
 • Android 11, One UI 3.1

TeknoKona kama kawaida yetu tumeshakuhabarisha sasa ni wewe kuamua kujipanga ili kuweza kuinunua au la! Mbali na hilo usisite kutuandikia maoni yako kuhusu makala huska lakini pia endelea kutufuatilia kila siku.

Vyanzo: CNet, Tigo Tanzania, GSMArena.

Comrade Mokiwa

Comrade Mokiwa

Muanzilishi wa Teknokona na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM

Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.

| mhariri(at)teknokona.co.tz |

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania