fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

HTC One

Njia 3 Za Ku ‘Reset’ Simu Ya Android!
AndroidHTCHTC OneJinsiMaujanjaSamsungsimuSmartphonesTabletTabletsTeknolojia

Njia 3 Za Ku ‘Reset’ Simu Ya Android!

Inafahamika wazi kuwa simu za Android kama vile Samsung Galaxy ndio wapinzani wakubwa wa kampuni Ya Apple ambao wana iPhone zinazotumia iOs. Watu wengi wanasema simu za android ni rahisi kutumia kuliko zile za Apple, Mimi nasema inategemea na mtu na chaguo lake (ha!).  Watumiaji wa Android wanafurahia maelfu kwa maelfu ya aplikesheni (Application) zinazopatikana…

LG Yatoa Kitu Kipya: LG-G3
AndroidHTC OneSamsungsimu

LG Yatoa Kitu Kipya: LG-G3

Kampuni ya LG mapema wiki hii imetoa simu mpya ya ubora wa juu kabisa ya LG-G3. Simu hiyo ambayo imeingia sokoni inashindani na simu nyingine za aina yake kama Samsung S5, HTC-One na I-phone 5. Kwa wapenzi wa simu wanaotamaani kujua ubora wa simu hii ni kwamba kwanza ina muonekano wa kuvutia na wa kisasa…

TeknoKona Teknolojia Tanzania