Kampuni ya Microsoft baada ya miaka 25 ya kutumia logo maarufu ya dirisha wamekuja na logo mpya. Hii ni kuonesha mabadiliko na kujitayarisha na programu mpya watakayoitoa hapo mwishoni mwa mwaka ya Windows 8.
Kwa habari zaidi zinazohusu Windows 8, angalia makala yetu yaliyopita!
Mbunifu na mpenda teknolojia.
Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM
Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.
| mhariri(at)teknokona.co.tz |
No Comment! Be the first one.