Mwaka jana Mlima Kilimanjaro haukufanikiwa kuingia kwenye orodha maarufu duniani ya maajabu saba ya asili duniani kutokana na upungufu wa kura, na sasa tumepata nafasi nyingine.
Kwa mara ya mwisho tulishindwa na ilionesha kura nyingi za Mlima Kilimanjaro zilitokea nje ya Tanzania. Tuoneshe tofauti wakati huu, pigia kura Mlima Kilimanjaro kwa kutembelea ukurasa huu http://sevennaturalwonders.org/category/africa/
Mbunifu na mpenda teknolojia.
Muanzilishi wa Teknokona, TechMsaada na Teknokona Group LTD - WWW.TEKNOKONAGROUP.COM
Muda wangu umegawanyika kati ya kazi kibunifu @teknokonagroup na uandishi wa habari za Teknolojia hapa Teknokona Blog.
| mhariri(at)teknokona.co.tz |
No Comment! Be the first one.