fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Microsoft Ubunifu Windows

Mwanafunzi Aingiza Windows 11 Katika Microsoft Lumia 950 XL!

Mwanafunzi Aingiza Windows 11 Katika Microsoft Lumia 950 XL!

Spread the love

Wakati bado hali ya  joto la Windows 11 haijashuka mwanafunzi afanikiwa kubadilisha kabisa mfumo wa undeshaji wa simu ya Lumia 950 XL na kuweka Windows 11.

Mwanafunzi ambaye anasomea maswala ya uinjia aejulikana kwa jina la Gustave Monce ameweza kuweka OS ya windows 11 katika simu ya windowa (Microsoft Lumia).

Microsoft Lumia Ikitumia Wondows 11

Microsoft Lumia Ikitumia Wondows 11

Baada ya mwanafunzi kulifanikisha hili aliaandaa video fupi ambayo inaonyesha namba ya Windows 11 ilivyoingia na kufanya kazi vizuri katika simu janja hiyo

Gustave mwenyewe baada ya kumaliza amedai kwamba ni sawa tu na mtu kutumia windows 11 katika kiaa chenye skrini ndogo na kila kitu kinafanya kazi sawa na windows 10.

Mara kwa mara vijana wamekuwa wakifanya vitu vya kibunifu kiasi kwamba kuvutia na kushawishi watu wengi zaidi katika nyanya ya teknolojia.

SOMA PIA  Kompyuta milioni 600 zinatumia toleo la Windows 10

Pongezi zetu kubwa zinaenda kwa Gus akiwa kama mdhubutu. Ningependa kusikia kutoka kwako, niambie habari hii umeipokeaje katika eneo la comment.

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Pendwa Wa TeknoKona Kila Siku Kwani Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania