Windows ya kwanza kabisa ilianza patikana mwaka mwaka 1985, kwa kipindi hichi teknolojia haikuwa na maendelea kama kwa kipindi ambacho tupo sasa maana imepita takribani miongo mitatu.
Ni wazi kuwa teknolojia imebadilika sana na kwa kiasi kikubwa imetubadilisha hata sisi, imebadilisha jinsi tunavyoweza fanya vitu na kufikiria kwa ujumla.
Tuone picha hizi za icon kwa ufupi kidogo (hizi ni baadhi tuu ya icon) ambazo zinapatikana katika programu endeshi ya Windows.
-
Windows 1.x (1985) na Windows 2.x (1987)

-
Windows 3.0 (1990)

-
Windows 3.1 (1992)

-
Windows 95 (1995)

-
Windows 98 (1998)

-
Windows 2000 na Windows Me (2000)

-
Windows XP (2001)

-
Windows Vista (2007)

-
Windows 8 (2012) na Windows 8.1 (2013)

-
Windows 10 (2015)

-
Windows 11 na zaidi (2021)

Nadhani mpaka hapo utakuwa umeweza kuona namna jinsi teknolojia ilivyoweza badilika kuanzia mwaka 1985 mpaka sasa kwa upande wa huduma ya Windows kutoka Microsoft.
No Comment! Be the first one.