Ingawa simu zetu zinaweza kutumika kama ngamizi/kompyuta lakini bado kuna umuhimu wa kuwa na bidhaa hiyo ili kufanikisha shughuli za kila siku kwa urahisi...
Kwa takribani siku tatu makampuni mbalimbali yanakutana sehemu moja kwa sababu moja tu; kuonyesha vifaa/teknolojia mpya kwa ajili ya michezo aina ya magemu unayoweza...