FAHAMU: Non-Fungible Token (NFT) Ni Kitu Gani?
Hilo neno NFT kwa dunia ya sasa hivi sio geni sana, pengine inawezekana ushawahi kulisikia au kupishana nalo sana huko mtandaoni.
Hilo neno NFT kwa dunia ya sasa hivi sio geni sana, pengine inawezekana ushawahi kulisikia au kupishana nalo sana huko mtandaoni.
Google wanazidi kuleta maboresho kadha wa kadha kila siku, hii ni katika hali ya kujihakikishia inaendelea kujiboresha zaidi.
Katika mahojiano na gazeti la New York Times bilionea Jack Ma ameeleza mpango wake wa kujiuzulu kama Mwenyekiti Mtendaji wa mtandao maarufu wa biashara, Alibaba unaojulikana kama ‘Amazon ya Uchina’.
Tovuti za habari nchini Tanzania na ulimwenguni kote zimekuwa chanzo cha habari katika ulimwengu wa teknolojia na kufakia watu kiurahisi zaidi kupitia vifaa mbalimbali vya kidijitali.
Kwa mujibu wa ripoti iliyozinduliwa na Google idadi ya wakenya wanaonunua na kuuza bidhaa kupitia mtandao wa intaneti imeongezeka kwa asilimia 14 tangu 2014.
Tumezoea kuona tovuti nyingi zikiishia na ‘.org’, ‘.eu’ na ile maarufu kabisa yaani ‘.com’. Sasa na kwa mara ya kwanza karibu miaka 30 iliyopita afrika imepata utambulisho wake wa kipekee katika ulimwengu wa intaneti.
Hatimaye kampuni ya Verizon imefanikiwa kununua kampuni ya Yahoo, katika dili hilo wamiliki wa Yahoo wameondoka na dola za kimarekani bilioni 4.5.
Google na Microsoft wakubaliana kushirikiana na makampuni makubwa ya umiliki wa hakimiliki za muziki na filamu katika vita dhidi ya mitandao inayohifadhi mafaili mbalimbali na kuyatoa bila malipo yoyote kwa wenye haki miliki.
Kama ilivyo kila mwaka, mtandao wa Youtube una tabia ya kuweka wazi nyimbo za wasanii ambazo zimefanya vizuri kuliko zingine katika mtandao huo.
Ni wazi kuwa mtandao wa Google ndio unaongoza kutembelewa kwa siku ukilianganisha na mitandao mingine yote duniani.
ZoomTanzania ni mtandao (namba moja?) ambao unajihusisha na kuuza na kununa bidhaa mtandaoni pamoja na mambo mengine mengi kama vile kutafuta ajira katika mtandao n.k.
Katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni na hatimaye rais mpya kuchaguliwa; Facebook imekataa uvumi ya kwamba Facebook iliruhusu watu kueneneza jumbe za uongo kuhusu uchaguzi huo kitendo ambacho matokeo yake si kama ilivyokuwa ikitegemewa.
Wiki chache zilizopita, washika dau mbalimbali wa sekta ya Afya, pamoja na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto walifanya uzinduzi wa tovuti maalumu kwa ajili ya taarifa kuhusu afya ya figo, uzinduzi uliofanyika mjini Dar es Salaam.
Tarehe 6 mwezi wa nane miaka 25 iliyopita website ya kwanza duniani ilianza kuwa hewani kwa mara ya kwanza.
Nchi ya Ethiopia imezuia mitandao ya kijamii katika kile ilichodai kwamba ni harakati za kuzuia wanafunzi wasisumbuliwe wakati wa mitihani ya mwisho wa mwaka ya kuingia chuo kikuu ambao unarudiwa wikii hii.
Twitter wametangaza kuleta stickers katika picha ambazo zinatumwa katika mtandao wao maarufu wa kijamii. Watumiaji wataweza kuweka sticker katika picha zao ambazo wanasambaza katika mtandao huo.
Kwa Ufupi! Kwa mara ya Kwanza kabisa, Apple walitambulisha Apple Tv (Kwa kipindi hicho waliita iTV) mwaka 2006. Ilikusudiwa kushusha media mbalimbali mtandaoni, kupitia iTunes ya kompyuta na kuchezwa katika TV yako.
Watu wengi hawajui ni jinsi gani mitandao kama vile kupatana na Inauzwa.com inavyojiingizia pesa. Wengi wanafikiria inatoa huduma zake bure tuu, nafikiri cha muhimu kujua hapa ni kwamba hakuna cha bure duniani.
Mwanamke mmoja amenusurika adhabu kari ya kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na kosa la kujaribu kumuuza mtoto wake kupitia mtandao.